SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

08 May 2017

MKUTANO WA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UJERUMANI,KUFANYIKA JUMAMOSI MAY 13,2017

Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V unapenda kuwaalika watanzania wote wanaoishi Ujerumani (TANZANIA DIASPORA) kwenye mkutano mkuu wa umoja wetu 2017. Mkutano wetu mkuu utafanyika Siku ya Jumamosi, terehe 13.05.17 saa 13:00 Mchana  katika Address ifuatayo
Bob's Cafe,
Altendorfer Stra├če 375
45143 Essen
Ili kufanikisha mkutano wetu tunawaomba watanzania kufika kwa wingi mno, mkutano huu ni muhimu sana kwani  kuudhuria kwenu ndio mafanikio ya umoja wetu na mafanikio yako wewe mtanzania unayeishi hapa ujerumani . Umoja wa Tanzania Ujerumani ( UTUe.V) ‘’Ndio mwavuli  na Sauti ya watanzania Ujerumani’’
 Mhe.Mfundo,mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani(UTU)

2 comment:

Unknown said...

Tuunganishe nasi tunaoishi Auszria basi. Bitte

Unknown said...

Tualike nasi watanzania walioko Tirol kwani twaweza join

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU