Bukobawadau

MASJID JAMIA BUKOBA SALA YA IDD EL FITRI LEO

 Waumini wa Kiislamu Mjini Bukoba leo Jumatatu June 26,2017 wamejumuika katika Sala ya Idd El Fitri  katika Msikiti wa Jamia uliopo katikati ya Mji huo .
 Sala ya Idd El Fitri ikiwa inaendelea leo katika Msikiti wa Jamii Mjini Bukoba
 Waislamu wakiwa katika sala ya Idd El Fitri
 Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa hutba ya swala ya Idd el Fitri leo katika Msikiti wa Jamia Mjini Bukoba
 Sheikh Tawfiq akikabidhi kiasi cha mchango uliotolewa na mmoja wa Waumini kwa ajili ya kuendeleza Madarasa faudhi
 Muendelezo wa matukio ya picha
 Waislamu wa mitaa mbali mbali ya Mji wa Bukoba wakimsikiliza Sheikh Haruna Kichwabuta wakati akiendeea kutoa  hutba ya swala ya Idd el Fitri leo
Bukobawadau  tunawatakia siku kuu njema ya dd El Fitri, tunamuomba Allah azikubali funga za wafungaji wote
Next Post Previous Post
Bukobawadau