Bukobawadau

MUONEKANO WA MWEZI LEO BUKOBA

 Camera yetu ikishuhudia muonekano wa Mwezi Jioni ya leo Jumapili June 25,2017 Mjini Bukoba
 Jumatatu hii Waislamu duniani kote watasherehekea sikukuu ya Idd El ... Kila mwaka tarehe ya Idd huweza kutokea kwa siku mbili tofauti wapo walioweza kusherekea siku kuu hiyo siku ya leo June 25,2017
Hivi ndivyo mwezi ulivyoendelea kuonekana maeneo mbalimbali ya Mji wa Bukoba ,hakika kila aina ya sifa na shukrani zinastahili kwenda kwa Mwenyezi Mungu ambaye ni muumba kutokana na ukarimu na mapenzi
BUKOBAWADAU TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA IDD FITRI ! Eid Mubarak
Next Post Previous Post
Bukobawadau