YANAYOJIRI VIWANJA VYA KYAKAILABWA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZIWA
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh. Kinawiroakitoa takwimu za Zao la Maziwa kwa Mkoa wa Kagera, mapema kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi.Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa Mkoani Kagera Mh.Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh. Charles Tizeba mapema ya leo Alhamisi June 1,2017.
Maadhimisho yaliyozinduliwa rasmi Mei 28, 2017 na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Tate William Ole Nasha katika Viwanja vya Kyakailabwa Manispaa ya Bukoba
Muonekano wa zawadi za vikombe na vyeti vitakavyotolewa kwa washiriki
Kikundi cha Sanaa cha Kakau Band
Msanii BK Sunday
Msanii Shemela
Wasanii wa Bk Sunday na Shemela wakiwajibika katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya maziwa kitaifa.
Taswira ya Jukwaa kuu, wanaonekana Viongozi Mbalimbali wa Mkoa Kagera, Katikati Ni Mh. Waziri Tizeba, anaonekana akisaini Vitabu vya Washiriki wa maadhimisho haya ya 20 ya Wiki ya maziwa
Awali Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Kijuu aliweza katembelea maadhimisho ya wiki ya maziwa Kyakailabwa na Kuwatembelea wazee wa Kiilima na kuwagawia maziwa. Kunywa maziwa furahia maisha.
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI.