Bukobawadau

'PEDESHEE NDAMA' AACHIWA HURU

Mfanyabiashara Shaban Hussein maarufu kama ''Pedeshee Ndama'' ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana na kulipa faini ya Shilingi Milioni 200.
- Mahakama ilimhukumu kifungo cha miaka 5 jela au kulipa faini hiyo kutokana na kukiri kosa la kutakatisha Dola za Marekani 540,000.
Next Post Previous Post
Bukobawadau