Bukobawadau

PICHA 130 KATIKA SEND OFF PARTY YA BI JALIA HAMIS MNYONGE ILIYOFANYIKA 22 JULY,2017

 Pata matukio ya picha yaliyojiri katika Send off Party ya Bi Jalia Hamis Mnyonge.
 Bwana harusi mtalajiwa  na mkewe kipenzi wakiwa na tabasamu la furaha mwanzoni kabisa mwa shughuli hii iliyolindima ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club .
Bi Jalia Hamis akiwa tayari kwa ajili ya zezi la kukata Keki
 Baadhi ya waalikwa ukumbini
 Burudani ukumbini...
 Mtalajiwa akitoa utambulisho wa wanafamilia.
 Mama Lugusha pichani akifatilia kinachojiri ukumbini
 Mc Jerry Mshereheshaji mahiri wa Shughuli hii iliyotikisa mwishoni mwa Juma lililpita katika Mji wa Bukoba
 Wadau wakipata picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
 Mzee Kassim na mke wape Pichani
 #BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
Instagram @bukobawadau

 Msanii Nshomile Mwana wa Bk akiwajibika.
 Mama Muhazi na Binti yake wakiwa wamejumuika katika sherehe hiyo.
 Mrs  Abdul Mubarak pichani na Mama Lugusha.
 Bi Maisala na Bi Lilian Peter Mwise ni sehemu ya waalikwa walioshiriki usiku wa Jalia Hamis Mnyonge.
 Bi harusi mtalajiwa Jalia Hamis katika picha na Dada yake Bi Achi Hamis
 Mpambanaji Eugin Kabendera na Bwana Hassan.
 Mwend wa burudani waalikwa wote wakiwapongeza maharusi wetu
 Mamia ya waalikwa ukumbini wakifatilia kila kinachojiri hatua hatua
 Mjomba mtu mara baada ya kupokea zawadi yake ya Keki
 Muonekano mjalabu wa watalajiwetu wetu
 Muendelezo wa matukio ya picha ukumbini
 Pongezi za hapa na pale zikiendelea kutoka makundi mbalimbali
 Taswira mbalimbali ukumbini kupitia bukobawadau media
 Nao mawifi zake Mama mzaa Chema, Mama Achi Hamis Mnyonge wakafanya yao kwa kutoa zawadi kemkem
 Wazazi wa mtalajiwa Bi Jalia

 Hii ni zawadi maalum iliyotolewa na Mc Jerry ikiwa ni mwendelezo wa kuonyesha utofauti katika shughuli ya ushereheshaji
 Very Classs
 Tukio wakati wanakamati wakipokea zawadi yao ya Keki

 Kijana maarufu Soma pichani kushoto akishow love na Kaka yake na rafiki yake Rahym Kabyemela

 Waalikwa wakiendelea na utaratibu wa kupata msosi
 Huduma safi ya Chakula kilichoandaliwa usiku huo
#BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043
Instagram @bukobawadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau