SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

08 July 2017

TANZIA:KIFO CHA MZEE AL HAJJI GALIATANO

Kwa masikitiko makubwa Familia ya Al hajji Galiatano wa Bukoba inawatangazia kifo cha Mzee wao mpendwa Al hajji Abbakari Galiatano kilichotoa  leo Jumamosi July 8,2017 Katika hospitali ya Mkoa Kagera.
Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho Jumapili saa saba mchana nyumbani kwake Kijijini Buganguzi Muleba.
Tunamuomba Mungu ailaze roho yake mahari pema peponi Amina ... 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!

1 comment:

Anonymous said...

Mpola muno no Omugurusi. Katonda amuumuze ne Emirembe.

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU