Bukobawadau

MWALIKO WA MISA YA KUMBUKUKUMBU YA MZEE SAMUEL LUANGISA TAREHE 13-16 JULY,2017

Familia ya marehemu Mzee Samuel Luangisa inapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki katika misa ya kumbukumbu na shughuli ya matanga ya Baba yao Mpendwa itakayofanyika nyumbani kwa marehemu Kitendaguro Bukoba kuanzia tarehe 13-16 July,2017
Next Post Previous Post
Bukobawadau