Bukobawadau

MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA: Rais mteule wa Kenya UHURU KENYATTA awashukuru wakenya na Tume huru ya uchaguzi.

Rais mteule wa Kenya UHURU KENYATTA awashukuru wakenya na Tume huru ya uchaguzi.
Awapongeza walioshinda na walioshindwa, pamoja na waangalizi wa uchaguzi.
Awataka walioshindwa kutokuwa maadui kwani wote wanalengo moja la kujenga taifa la Kenya.
Amtaka Raila Odinga, kushirikiana na Jubilee na kwamba wako tayari kwa majadiliano kwaajili ya kuijenga KENYA pamoja.
Ameomba amani na kuwataka WAKENYA kuepuka machafuko kwani wao ni ndugu na kwamba wao wanasiasa wataondoka na kuiacha Kenya
  Rais Mteule UHURU KENYATTA awapa ujumbe mzito wapinzani wake awataka waweke maslahi ya Kenya mbele.
Awakaribisha katika majadiliano na kuomba amani kwa wakenya wote bila kujali tofauti zao ." We are brothers."
Next Post Previous Post
Bukobawadau