SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

06 August 2017

TASWIRA KUTOKA KIVUKO CHA KYANYABASA

 Muonekeano wa Eneo la kivuko cha Serikali cha Kyanyabasa kinachotoa huduma kwa wakazi wengi wa Bukoba Vijijini hususani wananchi wa Kishogo ,Kasharu na Bujugo
Muonekano wa Bango la Kivuko Cha Mv.Kyanyabasa
Katika harakati za hapa na pale Mdau akivuka Mto Kyanyabasi kuelekea Vijiji vya Ntoija na Kishogo  Kata Kasharu Bukoba Vijijini

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU