Bukobawadau

LURDI YA BUKOBA OCT 22,2017 HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA

Jumapili ya leo Oct 22,2017 Maelfu ya waumini wa kikatoliki wameshiriki Ibada ya Hija eneo la Nyakijoga Mugana lililopo Wilayani Missenyi
Picha kwa hisani ya  Faustin Luta
 Taswira mbalimbali kutoka eneo la Hija Nyakijoga Mugana
 Askofu Kilaini akiongoza Ibada ya Hija kwa bikira maria Nyakijogo ineo lililopo Mugana-Missenyi
 Ibada ikiendelea..
 Kituo hiki cha Hija kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kiroho katika maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu tamko rasmi la Kanisa la mwaka 1854, kuwa ni nguzo ya imani kwamba Bikira Maria aliumbwa bila dhambi ya asili.
Waumini wakiendelea kushiriki Ibada hiyo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau