Bukobawadau

MAZIKO YA HAYATI ASKOFU CASTOR

 Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisaini kitabu cha rambi rambi wakati alipofika kushiriki maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017
 Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama  akiwa na spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anna Makinda, wakati wa misa ya  maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017
 Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa salaam za serikali wakati wa maziko ya aliyekuwa askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Anna Makinda, akinena kuhusu kifo cha Hayati askofu wa jimbo la Mbinga Hayati Castor Msemwa wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika  jimbo hilo, mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Oktoba, 2017

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Next Post Previous Post
Bukobawadau