Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, David CChilambo, juu ya jinsi vituo vya hali ya hewa vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya usimamizi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania ambapo kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake zinatumika kutabiri uwepo maafa ya mafuriko na Ukame nchini, , wakati alipokuwa anakagua vituo hivyo mkoani Ruvuma, katikati ni Mkuu wa Wilaya Namtumbo, Luckness Amlima.
Moja
ya Kituo cha hali ya hewa kati ya vituo 36 vilivyofungwa na Ofisi ya Waziri Mkuu nchi
nzima kwa usimamizi wa mamlaka ya hali
ya hewa Tanzania ambapo kutokana na uwezo wa vituo hivyo taarifa zake
zinatumika kutabiri uwepo maafa ya mafuriko na Ukame nchini, , kutokana na
uwezo wa vituo hivyo vinavyopatikana hapa nchini na Ethiopia kwa bara la Afrika,
vimeongeza uwezo wa ufanisi wa utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa kutoka
asilimia 82 hadi asilimia 87 kwa sasa.
PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU
0 comment:
Post a Comment