Wawakilishi wa Wanariadha wa Mkoa wa Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu (Kulia)
Akiwakabidhi Vifaa vya Michezo Wawakilishi wa Wanariadha wa Mkoa wa
Kagera Amosi Simon na Ferix Vineras Wanaoondoka Mkoani Hapa Kwenda
Jijini Mwanza Kushiriki Mbio za Marathon Maalufu Kama Rocky City
Marathon October 29, 2017.Wa Kwanza Kutoka Kushoto ni Afisa Michezo wa
Mkoa Bw. Kepha Elias.