Bukobawadau

KUTOKA MAGAZETINI YA TZ NA NJE LEO DECEMBER 12,2017


Vikao vya kahawa vimekuwa vikija na majawabu makubwa ya utatuzi wa changamoto tata kuanzia level ya familia hadi ya kitaifa tangu zama za wazee wetu, na 
leo tumeamua kuurudia utamaduni ili utupe majibu ya “Tunawezaje Kujenga Tanzania 
yenye Ufanisi wa Uzalishaji na Ushindani wa Masoko kupitia Kilimo chenye Tija?” katika#AzimioLaKagera.
Next Post Previous Post
Bukobawadau