Bukobawadau

#AzimioLaKagera

Vikao vya kahawa vimekuwa vikija na majawabu makubwa ya utatuzi wa changamoto tata kuanzia level ya familia hadi ya kitaifa tangu zama za wazee wetu, na 
leo tumeamua kuurudia utamaduni ili utupe majibu ya “Tunawezaje Kujenga Tanzania 
yenye Ufanisi wa Uzalishaji na Ushindani wa Masoko kupitia Kilimo chenye Tija?” katika #AzimioLaKagera
Next Post Previous Post
Bukobawadau