Bukobawadau

NDANI YA MUJUNGI PUB BUGONZI - KAMACHUMU

Kamachumu-Muleba Ni vizuri kufanya maandalizi ya seheme unayotaka!!Basi ukifika Kamachumu Karibu #MujunguPub sehemu pekee yenye mandhari tulivu na upepo mwanana, Maegesho yenye nafasi na usalama huku ukijipatia chakula safi cha viwango na michomo ya kila aina katika kuelekea msimu huu wa Siku kuu jitahidi nawe uwe miongoni !!
 Muonekano wa Sehemu ya Garden,sehemu nzuri ya kupumzikia na eneo kubwa la kufanyia harusi na sherehe mbalimbali
Have a 100% Pure Beer
 Pia wanatoa huduma ya kukodisha viti ,meza na turubai pamoja na kusambaza Vinjwaji wasiliana nao kupitia p784860341/0767860341
 Pichani kushoto ni Mkurugenzi wa Mujungi Pub kama alivyokutwa akibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa eneo hilo
 Mazingira safi yenye kupendeza
 Maeneo husika kuna Bwawa kwa ajili ya ufugaji wa Samaki
 Meneja @MujungiPub Kamachuma  akiwa katika pitapita zake
 Wadau kama walivyokutwa na Camera yetu maeneo ya Mujungi Pub Kamachumu
 Mujungi Pub ni Sehemu Sahihi yenye Privacy
 Kama ilivyo desturi #MujungiPub #Kamachumu #Bugonzi kuanzia sasa kuelekea Siku kuu ya Krisimasi na mwaka mpya panakua na burudani mbalimbali,Misosi na bites za kila aina
#MujungiPub #Kamachumu #Bugonzi
Mazingira ya Mujungi Pub
  Mujungi Pub pia wanatoa huduma ya kukodisha viti ,meza na turubai pamoja na kusambaza Vinjwaji wasiliana nao kupitia p784860341/0767860341
Taswira maeneo ya Jirani ya Mujungi Pub
Taswira Mji Mdogo wa kamachum barabara kuelekea #MujungiPub
Next Post Previous Post
Bukobawadau