Bukobawadau

VIDEO MKESHA WA MAULID U MJINI BUKOBA NOV 30,2017

Mjini Bukoba Waumini wa dini ya Kiislam mkoani Kagera wakiwa katika msafara wa maandamano wakati wa Sherehee za Mkesha wa Maulidi ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yanayofanyika kila mwaka kitaifa na kuhudhriwa na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kutoka kila pande za mkoa wa Kagera na nchi za Jirani Kama Uganda #Bukobawadau Nov 30,2017
Tazama Sehemu ya Video hapa Chini
Next Post Previous Post
Bukobawadau