Bukobawadau

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA BI SOPHIA KOKWONGEZA ISHENGOMA

Pata matukio ya picha mwanzo, mwisho yaliyojiri katika Shughuli ya mazishi ya mpendwa wetu Ma Sophia Kokwongeza Ishengoma iliyofanyika jioni ya leo Nyumbani kwao Kibeta -Magoti Bukoba na kuhudhuria na mamia ya waombolezaji kutoka pande mbalimbali nje na ndani ya Tanzania na kuongozi na Maaskofu wakuu wakuu wa jimbo katoliki la Bukoba,Askofu Desiderius M. Rwoma na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini
Raha ya milele umpe Ee… Bwana na mwanga wa milele umwangazie,apumzike kwa Amani,Amina !!

Mwanzo wa Shughuli ya Ibada kupitia picha vilevile matukio yanapatika katikaVideo kupitia Youtube account ya #bukobawada




 Taswira wakati Ibada ikiendelea
Mapema kabisa shughuli ya ibada ikiwa inaendelea
 Bi Betha Ishengo pichani wakati Ibada ya mazishi ikiendelea
 Salaam za rambirambi kutoka kwa Mh. Chief Kalumuna Meya wa Mji wa Bukoba.
 Adv. Protas Ishengomba wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia kufuatia msiba huu wa Mama yake mpendwa Ma Shophia Kokwongeza Ishengoma
Adv. Protas Ishengoma ambaye ni mtoto wa Marehemu Bi Sophia Kokwongeza Ishengoma akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia shukrani nyingi kwa majirani, ndugu, jamaa na marafiki kwa misaaada yao ya hali na mali na pia kushiriki katika shughuli zote za msiba na mazishi.


 Shukrani zikiendelea kwa wote waliofika nyumbani muda mchache baada ya kupata taarifa za msiba, shkrani za kipekee akizielekeza kwa Majaji waliofika kushiriki msiba huo,na kwa namna ya pekee shukrani kwa Mh.Charles John Mwijage Waziri wa Viwanda,Biashara kwa msaada ya awali wa roli lililojaa mikungu ya ndizi kutoka kijijini Kamachumu na watu wote waliopiga simu au kutuma ujumbe kwa njia mbalimbali kwa lengo la kutufariji
 Sehemu ya Wanakwaya.
 Wageni maalum na waheshimu wa ngazi mbalimbali
Taswira eneo la tukio wakati taratibu za maziko hayo ya kihistoria zikiendelea
Mnec mpya Mkoa Kagera Bwana Willy Mutabuzi kwa nafasi mbalkimbali akiwakilisha Salaam za  rambiramb


 Bwana Vijisenti akitoa salaam za rambirambi
  Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare akitoa salaam za rambirambi kwa niaba ya wanachama wa Kibeta Club
 Rambirambi kwa Ndg Patrick Ishengoma ambaye ni mtoto wa marehemu Bi Sophia Ishengoma
Bwana Cheyo kutoka jijini Dar akitoa salaam za rambirambi kwa niaba ya marafiki wa familia




Mkono wa pole na rambirarambi zikiendelea kutolewa kutoka kwa watu mbalimbali


Wadau wakiendelea kuwafariji wafiwa
Askofu Kilaini akinyunyuzia Maji ya baraka kwenye Jeneza lenye Mw
Jeneza lenye mwili likiwa limebebwa kuelekea eneo la kaburi
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika utaratibu wa kumpumzisha Bibi yetu Sophia Kokwongeza katika nyumba yake ya milele
Matukio yote haya pia yanapatikana katika account yetu ya Youtube waweza kutazama ilivyokuwa shughuli nzima
Jeneza lenye mwili wa marehemu likiwa tayari kuingizwa kaburini
Wakati utaratibu maalum wa maziko ukiendelea.
Waheshimiwa majaji wakishudia shughuli ya maziko, Katikati ni Mh. Jaji Kipenka Musa mahakama na kulia kabisa ni Jaji Stella Mgasha.
Poleni sana ndugu ,Pole sana Adv. Ishengoma
Askofu Roma akiweka Udongo kwenye kaburi
Askofu mkuu wa Jimbo katoliki Bukoba, Askofu Desiderius M. Rwoma akiongoza zoezi la kuweka udongo kwenye kaburi la mpendwa Bibi Sophia Ishengoma

 Watoto wa marehemu kwa pamoja wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yao mpendwa




Sehemu ya wajukuu wakiweka mashada ya maua na mishumaa.


Pichani ni baadhi ya wajukuu wa Marehemu Bibi Sophia Kokwongeza
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua
Waheshimiwa wabunge wakiweka mashada ya maua ni Mh. Lwakatare na Mh. Balozi Kamala wa Nkenge


Bwana Kashasha akiweka shada la maua
Ndugu Joseph Kahama akielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wetu Bibi Sophia Ishengoma
Pole sana ndgu Joseph kwa msiba huu mkubwa 
Mzee Kangimba rafiki mkubwa wa familia akiweka shada la maua.
 Majaji wakiweka shada la maua kwa pamoja


 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Mh.Lwakatare akiweka shada la maua
Zoezi la kuweka mashada likiendelea
 Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Bwana Chichi na Bwana masabala  mara baada ya kuweka shada la maua


Tazama Sehemu ya Video kuona ilibyokuwa shughuli ya mazishi hayo
Kutoka kushoto ni Mlangira Mzee Rugaibula,Mlangira Kaka Kataruga, Adv. Ishengomba, Mr.Anic Kashasha, Mama kataruga pamoja na Mr Kato wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya familia ya kataruga kukabidhi Ubani wao pamoja na (sanda) kimila wanasema (Ekilago)

Tazama Video Shughuli ya Mazishi ya Bibi Sopphia Ishengoma

Next Post Previous Post
Bukobawadau