Bukobawadau

PICHA SHUGHULI YA MATANGA YA OMULANGIRA DOMITIAN RUTAZIGOROKA 'KAPISI' - KIKUKWE

 Hivi ndivyo familia ya Marehemu mlangira Domitian Rutazigorokwa Kapisi ilivyoweza kuungana na jamaa na marafiki katika shughuli ya kuanua matanga ya mpendwa mzee wao iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita nyumbani kwao Kijijini Kikukwe Kanyigo.
Taswira umati ukiendelea kushiriki Ibada
 Shughuli ya Misa Matanga Ya marehemu Mlangira Domitian Rutazigorokwa Kapisi ikiendelea nyumbani kwake Kikukwe-Kanyigo

Wanakwaya wa Kanyigo
Sehemu ya wanakwaya wa BCC Bukoba
Ni wakati wa waumini kutoa sadaka


Wanafamilia wakitoa vipawa.Muendelezo wa matukio ya picha Shughuli ya Misa Matanga Ya marehemu Mlangira Domitian Rutazigorokwa Kapisi ikiendelea nyumbani kwake Kikukwe-Kanyigo
Wanakwaya wakiendelea kutumbuiza kwa nyimbo za kumsifu Bwana

Ibada maalumu  eneo la kaburi kwa ajili ya kumuombea mpendwa wetu Mlangira Domitiani 'Kapisi
Muendelezo wa matukio ya picha katika Shughuli nzima iliyofanyika Dec23,2017 Kijijini Kikukwe
Picha maalumu  kwa ajili ya kumbukumbu


Mdau Edwini Domitiani akibadilishana mawazo nawanafamilia walioweza kuungana nao katika shughuli hiyo
Burudani ya kwaya
Wakati shughuli ikiendela kikubwani waalikwa kupata vinjwaji kwa sana 
Burudani ya ngoma kutoka Ruzinga


 Pongezi za hapa na pale zikiwa zinaendelea
Matukio yzaidi  kwa mtiririko mzuri na sehemu ya video vitakufikia hivi punde.
 Waalikwa wakipata huduma safi ya chakula kilichoandaliwa
 Wadau mbalimbali wakiendelea kupata huduma ya chakula
 Katika picha kwa ajili ya kumbukumbu
 Muonekano wa kaburi la Marehemu Domitian ikiwa leo ni kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu atangulie mbele ya haki
Hekaheka ni kubwa mno eneo la jikoni
 Pichani katikati anaonekana Bwana Desy Domisian akibadilishana mawazo na marafiki zake

Next Post Previous Post
Bukobawadau