Bukobawadau

WADAU KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 'GANYIRA' @HUMURAROCKS #BUSIMBE #BUKOBA

Ndugu marafiki wapendwa Salam!!
Kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya 2018 *GANYIRA* Bw.Edward Kazimoto tunapenda kukutaarifu shughuli hii itafanyika *Humura rocks* Busimbe tarehe 31 Disemba 2017 kuanza saa moja jioni 

Ni tukio la kipekee linalowakutanisha wadau waishio Dar /Bukoba /mikoani na Ughaibuni *(Diasapora)* Ili ufanikisha shughuli hii tunaomba mchango wako kama ifuatavyo: . 

1. Couple Mr and Mrs na watoto 2 ni TSh laki moja (100,000/=)* 

2. Kila kichwa kinachoongezeka ni sh Elfu ishirini na tano (25,000/=) haijalishi ana umri gani,mtoto au mkubwa
3. Tafadhali Wakilisha michango kwa namba zifuatazo

+ Edward Kazimoto na 0754 222411

Au +Christopher Nyamwihura *Chichi* 0754366674

Esther Masabala
Umura Rocks

Mwisho wa kupokea michango ni tarehe 30 Disemba 2017

Tafadhali epuka usumbufu mlangoni kama hukutoa mchango *Karibu tuingie mwaka pamoja*,Karibu tusherekee kwa pamoja

Upatapo Ujumbe hu mtaarifu na mtaarifu mwenzako.
#bukobathisdesember
Next Post Previous Post
Bukobawadau