Bukobawadau

SHUKRANI KUTOKA KWA MJUMBE BARAZA KUU UVCCM TAIFA JOANFAITH KATARAIA

Pichani kutoka kushoto ni Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Taifa Joanfaith John Kataraia katikati ni Mwenyekiti mpya Ndg Kheri Denice James .
MATOKEO UCHAGUZI UVCCM TAIFA 2017
1. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James.
2. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti...

Kura halali 565
Thabia Mwita 286 (Mshindi)
Rashid Mohamed Rashid 282
3. Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara..
Sophia Kizigo
Musa Mwakitinya
Keisha
#MatokeoUchaguziUVCCM
4. Wajumbe 2 kwenda Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Zanzibar..
Abdallaghari Idrisa Juma
Maryam Mohamed Khamis
#MatokeoUchaguziUVCCM
5. Wawakilishi kutoka Tanzania Bara kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa nafasi 3..
Rose Manumba
John Katarahiya
Secky Katuga
#MatokeoUchaguziUVCCM
6. Wawakilishi kutoka Zanzibar kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa
Nasra haji
Abdallah Rajabu
#MatokeoUchaguziUVCCM
7. Mshindi nafasi ya Uwakilishi kutoka Vijana kwenda Jumuiya ya Wazazi ni AMIR MKALIPA
#MatokeoUchaguziUVCCM
8. Mshindi nafasi ya Uwakilishi Vijana kwenda UWT ni DOTO Dotto Nyirenda
SHUKRANI KUTOKA KWA MJUMBE BARAZA KUU UVCCM TAIFA
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kutupa afya na aman iliyotuwezesha kumaliza mkutano salama.
Pia, napenda kutoa shukran zangu nyingi za dhati kwa wale wote tuliosaidiana katika kufanikisha kwa namna mmoja au nyingine kushinda kwangu.
Aidha, napenda kuwakaribisha wote katika kushirikiana kuijenga Uvccm Mpya.
Vilevile, napenda kuwatakia safari njema mkiwa mnarudi nyumbani.
Ahsante sana.
Mungu awabariki.
Joanfaith J. Kataraia
Mjumbe Baraza Kuu Uvccm Taifa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau