Bukobawadau

MATUKIO YA PICHA PANDE ZA #UMURA ROCKS BUSIMBE BUKOBA HII ILIKUWA FUNGA MWAKA

Mkurungenzi wa Umura Rocks
 Mdau Rahym Kanyemela aliweza kuungana na wadau wengine katika maadhimisho ya kuukaribisha mwaka mpya 2018
 Bwana Ruga Baruti akipata huduma ya msosi

 Huduma ya kupata msosi ikiendelea kwa watu wote
Umura Rocks offers accommodations in Bukoba. Guests can enjoy the on-site restaurant. Free WiFi is featured and free private parking is available on site.
Zawadi ziliweza kutolewa kwa washindi wa mashindano ya kucheza muziki

Next Post Previous Post
Bukobawadau