Bukobawadau

UZINDUZI RASMI UKUMBI WA LINDAM ACADEMY

Ufunguzi rasmi wa LINDAM ACADAMY kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa LINDAM ACADEMY Zuhura Muro, Mgeni Rasmi Ms Ineke Bussemaker, CEO NMB Bank Plc na Mkurugenzi wa LINDAM ACADEMY Omulangira Focus Lutinwa pichani kulia.
Mada mbalimbali zikitolewa kuhusu Uongozi bora kazini siku ya uzinduzi wa LINDAM ACADEMY ukiratibiwa na Ms Santina Benson, katibu wa CEOs Round Table, na watoa mada Balozi Mwanaidi Maajar, A Career Legal Practitioner, Mr John Ulanga Kurugenzi Mkuu TradeMark East Africa na Ms Mili Rughani, CEO ZOOM Tanzania
Muonekano sehemu ya ndani ya Ukumbi wa mafunzo wa LINDAM ACADEMY sehemu inayowakutanisha wataalam ,vijana wajasiliamali na waliomaliza vyuo kwa ajili ya mafunzo,kujenga mtandao,kuongeza uzoefu na usimamizi wa Ujuzi muhimu katika kusaidia kutimiza malengo na ndoto zako.
Mkurugenzi Omulangira Focus Lutinwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake siku ya uzidunzi wa ukumbi wa mafunzo wa Lindam uliopo floor ya Sita katika Jengo la Tanzanite Pack kituo Victoria - Kinondoni
Picha ya pamoja kati wa wakurugenzi wa LINDAMY ACADEMY and Watoa mada kuhusu Uongozi bora siku ya uzinduzi huo.
Omulangira Focus Lutinwa Mkurugenzi wa LINDAM ACADEMY akitoa neno la shukurani kwa wageni waalikwa siku ya uzinduzi wa LINDAM ACADEMY
Maelezo zaidi kuhusu LINDAM Academy  sehemu sahihi kukuongezea skills
Omulangira Focus Lutinwa Mkurugenzi wa LINDAM ACADEMY akitoa zawadi kwa mgeni rasmi Ms Ineke Bussemaker, CEO NMB Bank Plc
Baadhi ya wageni waalikwa wakati wakiwasili kuhudhuru uzinduzi wa LINDAM ACADEMY
Baadhi ya wafanya kazi wa LINDAM ACADEMY katika picha ya pamoja.
Next Post Previous Post
Bukobawadau