Bukobawadau

SEND OFF PARTY BI WIVINA MURUNGI YAFANA

Kwanza mlipendeza sana!!ilikuwa poa, hongereni sana Bi Wivina Murungi mtarajiwa wa Bw Jackson Rwebangira,Pichani anaonekana  Bi Murungi akifuatana na wapambe wake wakati wanaingia ukumbini wakati wa sherehe ya kumuaga 'Send off Party'
 Mtarajiwa Bi Murungi akiwa anaingia ukumbini
Pata sehemu ya matukio ya picha yayaliyojiri katika sherehe ya kumuaga (send off party) ya Bi Wivina Murungi na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya ndoa 'Sherehe iliyowavutia watu wengi kwa mpangilio mzuri ilifanyika nyumbani kwao kijijini Kitobo Juma lililopita,
 Mzee Wilerth Mtayoba na Mkewe ambao ni Wazazi wa mtarajiwa Bi Wivina Murungi wakiingia Ukumbini
 Sehemu ya Wakwe ukumbini 
Wakuitwa Jackson Rwebangira aka Jack masamaki mtarajiwa wa Bi Murungi
 Taswira mbalimbali ukumbini shughuli ikiendelea...
 Bi harusi mtarajiwa anamuinua mmewe mtarajiwa Bw. Jack
 Picha zote na #Nyumbanistudio wakali wa shughuli mjini Bukoba. 
 Habari kubwa mjini Bukoba ni shughuli hii iliyowahusisha Jack na Murungi 
Muendelezo wa matukio ya picha yaliyojiri katika #SendoffPartyYaMurungi
Matukio ya Utambulisho
Muendelezo wa matukio #SendoffPartyYaMurungi
 Mh. Chief Kalumuna akitoa neno..
 Mtu huyu ndiye nitakayemuwangalia,hayo ni maneno ya Bi Murungi
 #SendoffPartyYaMurungi
Bi  Murungi mtarajiwa wa Jack akikata Kitu Keki #SendoffPartyYaMurungi
Zawadi ya Keki kwa upande wa Wazazi wa mtarajiwa Bi Murungi #SendoffPartyYaMurungi
#SendoffPartyYaMurungi
Katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya sherehe hii
Sherehe yoyote lazima iwe na burudani
Muendelezo wa matukio #SendoffPartyYaMurungi
Muendelezo wa matukio #SendoffPartyYaMurungi
Tunachoweza kusema kwa ujumla ni muonekano nadhifu..
 Kitita cha shilingi milioni 5 ikiwa ni sehemu tu ya zawadi kutoka kwa wazazi wa Bi Wivina Murungi  #SendoffPartyYaMurungi
Mama Buhiye wakati wa utambulisho

 Matukio ya awali upande wa pili wakielekea kutoa posa/mahari
Wanafamilia wakiwa wamependeza kwa mavazi ya asili
Bi Wivina Murungi akionekana mwenye furaha na asiye na wasiwasi wowote
Ni fursa ya kupata menu maalum iliyoandaliwa katika hafla hiyo inayoendelea kutrend vichwani mwa watu ni Jack $ Murungi. Picha na #Nyumbanistudio .
...ENDELEA KUWA NASI KWA Mkusanyiko wa picha za kuvutia zaidi kutoka kwa harusi ya aina yake Jack &Murungi...
Next Post Previous Post
Bukobawadau