Bukobawadau

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA RUGAIBULA KIJIJINI KANYIGO

Umati mkubwa wa waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Tanzania na nchi jirani za Uganda na Kenya wameweza kushiriki Mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula aliyekuwa diwani wa Kata Kashenye Wilaya Missenyi yaliofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bukwale-Kanyigo Bukoba 
Ma Grace Mama mzazi wa Justice Rugaibula akiteta jambo na mwanae mapema kabla ya shughuli ya mazishi
 Jeneza lenye mwili wa Mlangira likiwa ukumbuni tayari kwa ajili ya Ibada ya Mazishi yake
Sehemu ya wanafamilia pichani Ndugu Divo  Rugaibula akiwa na mwanae na kulia kwake ni Mlangira Dr.Mboneko.
Pichani ni Ndugu Justice Rugaibula na familia yake wakiwa na majonzi makubwa.
 Umati mkubwa wa Ombolezaji wakiwa tayari kwa ajili ya kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mlangira Rugaibula
Ibada maalum na Shughuli ya mazishi ya Mpendwa wetu Mlangira Adeodatus Rugaibula akiongoza na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius '
 Kati ya watu mashuhuri waliohuhuria mazishi ya Mlangira Rugaibula ni pamoja na Erick Mtalemwa.
Wadau waombolezaji na marafiki wa familia wakiwa tayari kushiriki shughuli ya mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula.


Wanakwaya wakiendelea kuimba nyimbo za kuabudu katika shughuli ya #MazishiyaMlangiraRugaibula
 Pichani yupo Bi Sarah,Mlangira Ben Kataruga na Mwanapamo Ndugu Mwinyi

 Taswira mbalimbali Ibada ya Mazishi ikiendelea
 Uncle Salum Mawingo na Bwana Yakubu ni miongoni mwa waombolezaji
Muungwana Jamal Kalumuna pichani kushoto akiwa sambamba na waombolezaji wengine ktk shughuli ya #MazishiyaMlangiraRugaibula Hakika watu ni wengi kweli kweli


Kaka Deo Rugaibula akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Baba yake mpendwa Mlangira Rugaibula.
 Justuce Rugaibula na familia yake wakitoa heshima zao za mwisho kwa Baba yao mpendwa Mlangira Adeodatus Rugaibula.

 Poleni sana wafiwa pole sana Adelius kwa msiba huu mkubwa..
 Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mpendwa mzee wetu
 Matukio ya awali wakati wa kutoa heshima zao za mwisho
Baadhi ya waombolezaji walioweza kushiriki Ibaa ya mazishi ya Mlangira Rugaibula
 Utaratibu wa kutoa heshima za mwisho (rast respect) ukiendelea kwa wanafamilia wote, watoto wa marehemu Mlangira Rugaibula na pamoja na waombolezaji
 Ndugu Dona Rugaibula akiongoza na Optaty Henry
 Mama Ma Grace wakati akitoa heshima zake za mwisho kwa Mpendwa wetu Mlangira Adeodatus Rugaibula 
 Mlangira Ben Kataruga akitoa heshima zake za mwisho 
 Mlangira Focas Lutinwa akitoa heshima za mwisho kwa mpendwa wetu  Mlangira Adeodatus Rugaibula
 Haji Mugunda akitoa heshima zake za mwisho
 Deldeus Rugaiba pole sana mzee kwa kumpoteza Baba yako mzazi Ni Simanzi kubwa kwa wanafamilia kama wanavyo onekana machozi na vilio vikiwatoka
 Watoto wa Marehemu Mlangira Rugaibula wakitokwa na Machozi ya huzuni wakati wa kutoa heshima zao za mwisho
 #MazishiyaMlangiraRugaibula utaratibu wa kutoa heshima za mwisho ukiendea


Sehemu kubwa ya waombolezaji wakifatilia kila kinachojiri kupitia TV kubwa zilizofungwa kila sehemu kwa ubora na zenye teknolojia #MazishiyaMlangiraRugaibula.
Idadi kubwa ya Mapadre pamoja na Wachungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wakitoa heshima zao za mwisho #MazishiyaMlangiraRugaibula
Mapadre wakiongoza na Baba Askofu Kilaini wakitoa heshima zao za mwisho
 Bwana Kharim Amri ni miongoni mwa waombolezaji
 Mh.Tegamaisho na Mh. Balozi  Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge wakitoa heshima zao za mwisho kumuaga mpendwa wao
 Mama Mhazi na  Mama Mlima pichani wakati wa kutoa heshima za mwisho
 Diwani Kamala Kalumuna na Bi Chui Salome wakati wa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa Mpendwa Mlangira Rugaibula
 Pichani anaonekana Ndugu Libe,Ndugu Mzamir Katunzi na Ndugu Erick  #MazishiyaMlangiraRugaibula
Waombolezaji wakiwafariji wafiwa #MazishiyaMlangiraRugaibula
Waombolezaji wakiwafariji wafiwa #MazishiyaMlangiraRugaibula
Mtoto Grace Justice Rugaibula akiongoza na mama yake mdogo kutoa heshima za mwisho kwa Mlangira Rugaibula
 Bwana Habibu akicheck na Camera yetu

 Poleni sana wafiwa kwa kumpoteza mpendwa wenu
 Bwana Divo Rugaibula akiteta jambo na Kaka yao mkubwa Deo Rugaibula
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Missenyi Ndugu Tegamaisho akiteta jambo na Diwani Mwenzie


Bwana Divo Rugaibula akipokea rambirambi kutoka kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Missenyi.
 Bwana Optaty Henry akitoa salaam za rambirarambi kwa niaba ya chama cha Wanapamoja
 Sehemu ya wanapamoja wakiwa wamesimama
Taswira mbali wakati Shughuli ya Ibada ya mazishi ikiwa inaendeleaMama Benna pichani kushoto akifatiwa na Mwanae Mrs Deo Rugaibula (Mama Nice)
 Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMlangiraRugaibula
 Rambirambi kutoka kwa Mahakimu wa Wilaya ya Bukoba  zikikabidhiwa kwa Mtumishi mwenzao ambaye ni mmoja kati ya Watoto wa kuzaliwa na Marehemu Mlangira Adeodatus Rugaibula


 Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMlangiraRugaibula
 Mwenyekiti wa CCM Wilaya Missenyi pamoja na Mnec Mkoa Kagera Ndugu Willy Mtabuzi wakitoa salaam za rambirambi
 Mnec Mkoa Kagera Ndugu Willy Mtabuzi akitoa mkono wa kuwafariji wafiwa
 Sehemu ya wanaukoo wa Walangila wakifatilia mtiriko mzima wa matukio yanayojiri  #MazishiyaMlangiraRugaibula
 Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMlangiraRugaibula
 Neno la Shukrani kwa Ujumla kutoka kwa msemaji wa familia ya marehemu Mlangira Rugaiba
 Salaam za rambirambi kutoka kwa Mh. Balozi  Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge
  Salaam za rambirambi kutoka kwa Viongozi wa CCM wa Kijiji cha Bukwale Kata ya Kashenye
 Mh.Projetus Tegamaishp akitoa Salaam za rambirambi kwa niaba ya Madiwani wa Halmashauri ya Missenyi
 Wanaonekana Madiwani ya Halmashauri ya Wilaya Missenyi wakati wakitambulishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mh.Projetus Tegamaisho ikiwa wameondokewa na aliyekuwa Diwani wa Kata Kashenyi mzee wetu Mlangira Mlangira Adeodatus
 Pamoja na mambo mengine salaam za mwenyekiti wa Halmashauri ya Missenyi Mh.Projetus Tegamaisho zinachombeza kidogo utayari wa kuwania nafsi ya Udiwa wa Kata hiyo kwa mmoja wa watoto wa Marehemu Mlangira Adeodatus Rugaibula ,Ndugu Divo Rugaibula pichani aliyesima


Rambirambi kutoka kwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi
Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini akiongoza utaratibu wa kuweka shada la maua
 Ndugu Patrick Ishengoma na Adv. Protas Ishema wakiweka shada la maua 
 Baadhi ya watoto wa Mlangira Rugaibula wakiweka shada la maua
 Mr $Mrs Dona Rugaibula wakiweka shada la maua
Mr $Mrs Justuce Rugaibula na Mama yao Mzazi Ma Grace wakiweka Shada la maua
 Eneo la Kaburi utaratibu wa kuweka mashada ya Maua ukiwa unaendea

 Utaratibu wa kuweka mashada ya maua mashada ya maua
Wanafamilia wakitoka eneo la kaburi mara baada ya shughuli ya mazishi kukamilika
Muendelezo wa matukio ya picha. mara baaa ya shughuli ya mazishi
 Mtu na Shemeji yake Bi Jojo (Kisha) na Dona Rugaibula
Wasifu wa Marehemu ukisomwa
 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare mara baada ya shughuli ya Mazishi
Bwana Rutta Rwabigene na Ndugu Joha Rugenge
 Dona Rugaibula na Mdogo wake Ruganzi Rugaibula pichani
 Bwana Dona Rugaibula mara baada ya kupokea mkono wa  rambirambi kutoka kwa marafiki zake, pichani yupo Bwana Abdul (Koma)Galiatano
 Muonekano wa Kaburi la Mlangira Adeodatus Rugaibula

 Bwana Justuce Rugaibula akipokea mkono wa pole kutoka kwa mmoja wa waombolezaji wa Msiba wa mzee wake mpendwa Mlangira Rugaibula
 Sehemu ya wadau mara baada ya shughuli ya mazishi ya Mlangira Rugaibula
 Bwana Elnest Mushobozi, Ndugu Rutta na Mr Edwin wakibadilishana mawazo 

 Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMlangiraRugaibula
 Muendelezo wa matukio ya picha #MazishiyaMlangiraRugaibula
Hivi nivyo ilivyokua Safari ya Mwisho ya Maisha ya Mlangira Adeodatus Rugaibula
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima Mwenyezi Mungu hampe pumziko la milele mzee wetu
 Ndugu John Katarai na Bwana Edwin katika hili na lile
 Mdau Bashiru Kabyemela ,Ndugu Rutta na Kijana Rama  mara baada ya Shuguli ya #MazishiyaMlangiraRugaibula
Mwisho wa matukio yaliojiri #MazishiyaMlangiraRugaibula
Daima tunamuombea Mlangira Baba yetu Mpendwa Adeodatus Rugaibula apumzishwa kwenye nyumba yake ya Milele Amina.


Next Post Previous Post
Bukobawadau