Bukobawadau

UMATI WA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA RUGAIBULA KIJIJINI KANYIGO

Umati mkubwa wa waombolezaji wameweza kushiriki Mazishi ya Mlangira Adeodatus Rugaibula yaliofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bukwale-Kanyigo Bukoba.
Ndugu Justice Rugaibula na mama yake Mzazi Ma Grace wakita jambo muda mchache kabla ya kuanza kwa shughuli ya Mazishi ya mpendwa wetu Mlangira Adeodatus Rugaibula
 Jeneza lenye mwili wa Mlangira likiwa ukumbuni tayari kwa ajili ya Ibada ya Mazishi yake
Sehemu ya wanafamilia pichani Ndugu Divo  Rugaibula akiwa na mwanae na kulia kwake ni Mlangira Dr.Mboneko.
Pichani ni Ndugu Justice Rugaibula na familia yake wakiwa na majonzi makubwa.
 Umati mkubwa wa Ombolezaji wakiwa tayari kwa ajili ya kushiriki Ibada ya Mazishi ya Mlangira Rugaibula
 Kati ya watu mashuhuli waliohuhuria mazishi ya Mlangira Rugaibula ni pamoja na Erick Rugereka na Mzamir Katunzi Pichani yupo Bi Sarah,Mlangira Ben Kataruga na Mwanapamo Ndugu Mwinyi


 Taswira mbalimbali Ibada ya Mazishi ikiendelea Hakika watu ni wengi kweli kweli

Kaka Deo Rugaibula akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Baba yake mpendwa Mlangira Rugaibula.
 Justuce Rugaibula na familia yake wakitoa heshima zao za mwisho kwa Baba yao mpendwa Mlangira Adeodatus Rugaibula.

 Poleni sana wafiwa pole sana Adelius kwa msiba huu mkubwa..
 Poleni sana ndugu kwa kumpoteza mpendwa mzee wetu
 Matukio ya awali wakati wa kutoa heshima zao za mwisho

 Bwana Habibu akicheck na Camera yetu

 Poleni sana wafiwa kwa kumpoteza mpendwa wenu
 Bwana Divo Rugaibula akiteta jambo na Kaka yao mkubwa Deo Rugaibula
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Missenyi Ndugu Tegamaisho akiteta jambo na Diwani Mwenzie


 Bwana Optaty Henry akitoa salaam za rambirarambi kwa niaba ya chama cha Wanapamoja
 Sehemu ya wanapamoja wakiwa wamesimama


 Utaratibu wa mashada ya maua
Wanafamilia wakitoka eneo la kaburi mara baada ya shughuli ya mazishi kukamilika
Muendelezo wa matukio ya picha. mara baaa ya shughuli ya mazishi
 Mtu na Shemeji yake Bi Jojo (Kisha) na Dona Rugaibula
 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare mara baada ya shughuli ya Mazishi

 Dona Rugaibula na Mdogo wake Ruganzi Rugaibula pichani
 Bwana Dona Rugaibula mara baada ya kupokea mkono wa  rambirambi kutoka kwa marafiki zake, pichani yupo Bwana Abdul (Koma)Galiatano
 Muonekano wa Kaburi la Mlangira Adeodatus Rugaibula
 Bwana Justuce Rugaibula akipokea mkono wa pole kutoka kwa mmoja wa waombolezaji wa Msiba wa mzee wake mpendwa Mlangira Rugaibula
 Sehemu ya wadau mara baada ya shughuli ya mazishi ya Mlangira Rugaibula
 Mr. Elnest Mushobozi,Bwana Rutta na Edwin pichani wakibadilishana mawazo wakati wa shughuli ya mazishi ya Mlangira Rugaibala


Mwisho #Bukobawadau tunatoa pole kwa familia, ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu mkubwa,Daima Mwenyezi Mungu hampe pumziko la milele mzee wetuNext Post Previous Post
Bukobawadau