Bukobawadau

IBADA TAKATIFU YA KUMALIZA MATANGA YA KAKA YETU MPENDA JULIUS. D. MCHUNGUZI

Familia ya Marehemu Mzee Kibirango wa Kishanda Muleba wameungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada takatifu  ya kumshukuru ya kumshukuru Mungu na kuwakumbuka wazazi na ndugu waliotangulia mbele ya haki na kumaliza Matanga 'Okushohora' Msiba wa kaka yao Mpendwa Mchunguzi.
Daima Mwenyezi Mungu Awapumzishe kwa Amani!
Katika picha wakati Ibada takatifu ikiendelea
Next Post Previous Post
Bukobawadau