Bukobawadau

MJENGONI KWA BW.MWEBE #BANDARI NI HAFLA YA FAMILIA KUMPONGEZA MAMA YAO MPENDWA

Hongera sana rafiki yetu, ndugu yetu Bwana Mwebe Angelo aka #MzeeBandari mzee wa Tabata, mzee Yabukoba kwa nyumba hii iliyopo Kijini kwenu #Buganguzi -Muleba ,hongera kwa uzalendo mzee. #HomeSweetHome
Muonekano wa ndani wa nyumba hiyo, pichani Bwana Mwebe aka Mzee Bandari aka Mzee wa tabata akibadilishana mawazo na marafiki waliofika nyumbani kwake kwa ajili ya kumpongeza
 Bwana Charles Bushaija,Baba Paroko na Titus Bushaija kwa walipofika masikani kwa Bwana Mwebe kijana mpambanaji kwa ajili ya kumpongeza kufuatia hatua hii ya kukamilisha mjengo wake kijijini Buganguzi -Muleba.
Baba Paroko katika picha ya pamoja na Bwana Titus Bushaija.
 Mtu na swahiba yake pichana Kijana Mwebe #Bandari akiteta jambo na Mdau Mjuni
BwanaMwebeBandari na #HajjNuruGaliatano  katika picha ya pamoja.
 Daaah!Ingawa binafsi sio engineer wa majengo lakini kwa jicho langu la kawaida ubora wa nyumba nauona,hongera sana bwana kazi imeonekana
 Picha ya Juu muonekano wa Mjengo wa Bwana Mwebe sambamba kabisa na jirani yake Bwana Charles hakika pamoja mnastahili pongezi WanaBuganguzi
Muonekano wa picha ya Juu Mjengo wa Kijana Mweba aka Bandari,#ShambaniBuganguzi
 Muonekano wa Kisasa kabisa wa nyumba hiyo 
Kila kitu ndani ya nyumba hiyo ni cha kisasa zaidi, muonekano wa Furniture  Manshallah!
 Eneo la maegesho ya magari.
Endelea mpaka mwisho wa ukurasa huu kwa matukio yaliyojiri kinyumbani tunasema 'Waitu  Mgizile mayo'.... "Tusaine kusiim'Omukama Mungu"!!!
 Tukio la sherehe ya kuingia nyumba ya Bwana Mwebe lilikuwa Surprise kibao na kuleta gumzo hapo Kijijini Buganguzi ikiambatana  Julibei ya Mama yake mzazi Ma' Chartine kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake Sambamba na Send off ya Dada yetu Bi Konche.
 Pichani Umati mkubwa wa watu wakiendelea kushiriki hafla ya Julibei ya Mama yake mzazi Ma' Chartine na Shughuli ya Send off ya Dada yetu Bi Konche.
 Bi Konche Angele mwali wetu pichani kulia na matron  wake
 Ndugu wa familia ya Mzee Angelo mshana wakati shughuli ikiendelea
 Mwenyekiti wa hafla hiyo Bwana Mjumbe akitolea jambo ufafanuzi
 Mrs Mwebe #Bandari akipokea zawadi yake ya keki
 Mtu na Wifi yake wakipongezana mara baada ya kupokea zawadi ya Keki.
Bi Konche akikabidhi zawadi ya keki kwa dada zake wapenda pichani katikati ni Bi Revina na Alicea.
 Mara baada ya kukabidhi zawadi ya Keki kwa Baba Paroko
Ndugu wa familia muda mchache kabla ya kupokea zawadi yao ya Keki
Ndugu Mgani,Joseph, Gody na Magezi ni kaka Zake Bi Konche kwa pamoja wakipokea zawadi yao ya Keki
 Taswira mbalimbali wakati shughuli ikiendelea
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiriko mzima wa matukio yaliyojiri wakati wa hafla hii.
 Muda wa kufungua Chupa kadhaa za Champagne .
 Wakati tukio likiendelea Bi Marry Rwabizi na swahiba yake wa karibi Mama yetu Ma' Chartine.
 Miondoke ya aina hii na vile wakati wa kufungua Champagne
Wageni kutoka Upande wa pili mme mtalajiwa wa Bi Conche wakiwasili mahala hapa
 Hajji Nuru Galiatano na Bwana Mgani Angelo wakifuatilia kwa karibu kinachoendelea ukumbini
 Wanakwako wa Kwaya ya Buganguzi wakiendelea kuwajibika.
Wakati wa utambulisho kwa kuzingatia makundi maalum
 Katika hili na lile wakati hafla ya kumpongeza Mama yetu mzazi Ma'Charlitine na Dada yetu Konche ikiendelea
 Muonekano wa sehemu ya zawadi ambazo Mama Mzazi Ma'Charltine alimkabidhi binti yake anayeagwa siku ya leo Bi Konche.


Furaha kubwa ikitawala ukumbini wakati wa kuwapongeza Mama Yetu Chartine kwa kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake Bi Konche kwaSend off . 
Pongezi za hapa na pale zikiendelea kwa Wana Jubilei na Bi Konche ambaye ni mwali wetu.
Mama akiendelea kushusha zawadi za kila aina kwa kuzingatia uhitaji
Uncle Khalid Galiatano akifurahia jambo
Zawadi kemkem zikiendelea wa wanae Bi Konche na mme wake.
 Burudani ya Show kutoka Vikundi mbalimbali ikichukua kasi.
 Burudani ya ngoma ya asili
 Burudani kali ya Ngoma ya asili ikifungua ukurasa mpya kuhakikisha kila kitu kinakwenda kama kilivypangwa
 Pongezi za hapa na pale zikiendelea
 Mama Muhazi akimpongeza Mama Chartine kwa kutimiza miaka 6 ya kuzaliwa kwake
Watu ni wengi ni wengi kwelikweli walioweza kuhudhuria hafala hii
Taswira mbalimbali kupitia picha wakati shughuli ikiendelea
 Akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) kata Buganguzi walivunja rekodi namna walivyojitokeza kwa shangwe kumtunza na kumzawadia mwenyekiti wao wa Kata Buganguzi Bi Chartine Angelo
 Uncle Titto Bushaija na Uncle Khalid Galiatano wakicheck na Camera yetu
 Taswira mbalimbali shangwe za hapa na pale zikeendelea
Shangwe za hapa na pale zikiendelea, macho na masikio yakiangaza wakati akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) kata Buganguzi wakitawala ukumbini
 Baba Paroko akimpongeza Mama yetu Mpendwa Ma' Chartine.
 Eng Datus akisalimiana na Dada yake mpendwa.
 Katika mozi moja matata 
 Muendelezo wa matukio ya picha sehemu ya wageni walioweza kushiriki hafla hiyo iliyofanyika Kijijini Buganguzi
 Binti Mwebe pichani Ms Charlitine
 Mwalimu Lambart pichani rafiki wa familia hii akiendelea kufarahi yanayojiri ukumbini
Pichani kulia ni Bwana Bashiru Issack Galiatano rafiki mkubwa wa familia hii
 Eng.Datus Rwihula pichani
 Baadhi ya Wajukuu wa familia ya Marehemu mzee Angelo Mshana na Bi Chartine.
 Moja kati ya picha ya mwendo kasi kutoka kushoto Kijana Mwebe Bandari na Kaka zake Mr.Delfinius na Bwana Titto Bushaija 
Mbele ya Camera yetu ni Bi Alicea Angelo
 Furaha sio kitu kipo teyari kishafanywa bali furaha inakuja kutokana na matendo ndivyo anavyo onekana pichani Bwana Mwebe aka Bandari mwenye sifa ya upendo ,furaha na mwenye hofu ya mungu ,hakika mola akubaliki kwa Uungwana wako ndugu
 Mpiga Kinanda maarufu Revinus akiwajiba
 Mrs Fabian Kalikawe akiwa na kijana wake wakionekana wenye nyuso za furaha.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Shughuli hii Bwana Mjumbe akiteta jambo na Bwana Bandari na Mama Ma'Chartine.
 Ndugu Gody Angelo pichani
 Naaam!Umesomeka vizuri Mzee Delifinius.
 Wanangufu Bwana Mgani na Mwebembezi wakiteta jambo
 Mr Fabian Kalikawe na Kijana wake pichani ni kati ya waalikwa walioshiriki hafla hiyo
 Mr $Mrs Mwebe katika picha na Bi Marry Rwabizi rafiki wa familia
 Bukobawadau tunatoa pongezi zetu za dhati kwako hongera Bwana Mwebe maarufu kama #Bandari  kwa sherehe ya kuingia nyumba yako hapo Kijijini Buganguzi, Ilikuwa bonge la tukio lenye Surprise kibao,hongera kwa Julibei ya Mama yako mzazi Ma' Chartine kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake Sambamba na Send off ya Dada yetu Konche.
Tunawatakia siku njema na heri ya Mwaka mpya 2019 'Mgizile mayo'.... "Waitu tusaine kusiim'Omukama Mungu!!!
 Utambulisho ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali.
 Majid Rajab (Kifedha) katika picha na ndugu yake Khalid Galiatano
 Sehemu ya waalikwa wakipata huduma ya Chakula.
Kaka Salvatory Rwabizi akipata huduma ya msosi safi ulioandaliwa kwa watu wote
 Waalikwa wakiendelea kupata huduma ya msosi
Mwisho Bukobawadau tunatoa pongezi zetu za dhati kwako hongera Bwana Mwebe maarufu kama #Bandari  kwa sherehe ya kuingia nyumba yako hapo Kijijini Buganguzi, Ilikuwa bonge la tukio lenye Surprise kibao,hongera kwa Julibei ya Mama yako mzazi Ma' Chartine kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake Sambamba na Send off ya Dada yetu Konche.
Mama Muhazi na Kijana wake Moses
Endelea kuwa nasi kwa Matukio Ya Misa na Sehemu ya Burudani pamoja na zawadi  kwa kina!


Next Post Previous Post
Bukobawadau