Bukobawadau

#UMURA ROCKS NA SHANGWE ZA MWAKA MPYA!

 Mwaka mpya ulivyoadhimisha na wadau mjini Bukoba kwa shangwe za aina yake pande za 'Umura Rocks ' sehemu sahihi kabisa na tulivu iliyopo kilimani (Businde) pembezoni mwa Ziwa Victoria ,Hakika wadau hao walionekana kupendezeza kifamilia zaidi na kuufanya Usiku huo kuwa wa aina yake
  Ni Shangwe,vifijo,nderemo vikisheheni katika Kiota cha 'Umura Rock' watu wakisherehekea kuanza kwa Mwaka Mpya 2019
Mr Thomas Bukoba akifunga champaigne ikiwa
 Anaonekana Bw.Wence, Mr Leo leo na mtaalamu Alex Mtiganzi wakifurahi kwa pamoja
Ni mendo wa furaha mahali hapa kwa watu wote waliohudhuria
 Mr & Mrs Edward Kazimoto pichani
Mr 'Never Miss' Alex Mtiganzi kama kawaida ndani ya nyumba.
 Pale 'Akatambala' ya Saida Karoli inapozidi kunogesha
 Dada Farida Kassim  akifuatilia kinachijiri
 Ngoma kali zikiendelea..
Furaha ya kusherekea mwaka mpya ikiendelea @UmuraRocks.
 Hii ni sehemu ya kwanza ya matukio ya liyojiri...
 Mmiliki wa Kiota cha 'Umura Rocks ' akitoa neno.
 Nyota wa Usiku huo ni Mr &Mrs Ruge Masabala.
 Bwana Edward Kazimoto mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya 2019 akifurahi kwa kucheza midundo ya kale
 Furaha ya mambo,furaha ya mwaka mpya!
 Mratibu Mipango wa shangwe hizi Bw.Christopher Chichi Nyamwihula akifurahia show inayoendelea 
 Bi Willielmina Byalyagati mkurugezi wa 'Umura Rocks' na Mrs Chichi pichani
 Wanafamilia Katika picha ya pamoja
 Hakika mambo ni motoooooooooo!! kama anavyo onkena waalikwa wakiendelea kupata Vinjwaji ,Soup na nyama choma.
Mambo ya kuperuzi na kuchat
 Keki husika ilikatwa....
 Shangwe zikiendelea kuchukua kasi
Burudani ya Music mahala hapa ikiendelea..
 Waalikwa wakifuatilia sho kali zinazoendelea wakiendelea 
Waalikwa wakiendelea kupata Vinjwaji ,Soup na nyama choma.
Muendelezo wa matukio ya picha.
 Wakuita Geddy Orginal na mke wake wakishow love mbele ya Camera yetu
 Wakuitwa Jamila Jam jam naye alikuepo
HII NI SEHEMU YA KWANZA... Endelea kua nasi kwa matukio zaidi ya picha
Next Post Previous Post
Bukobawadau