Bukobawadau

BALOZI KAMALA:Amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi kuhakikisha usawa katika upatikanaji na utekelezaji wa Miradi na huduma za Jamii

BaloziDr.Kamala:Tunaposema Missenyi ni pamoja na Tarafa ya Kiziba hivyo amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi kuwajibika vyema kwa wananchi na kuhakikisha usawa katika upatikanaji na utekelezaji wa miradi na huduma za jamii katika kata zote 20 za Tarafa Missenyi na Kiziba.
Next Post Previous Post
Bukobawadau