Bukobawadau

ZIARA YA BALOZI DR KAMALA YAENDELEA LEO KIJIJI CHA RUKURUNGO KATA BUGANDIKA

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ameendelea na ziara yake leo katika kijijini cha Rukurungo Kata Bugandika Wilaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge ameendelea na ziara yake leo katika kijijini cha Rukurungo Kata Bugandika Wilaya Missenyi na kuwaeleza wananchi mambo mbalimbali yanaendelea kufanyika Jimboni na hatua za serikali kuleta maendeleo.
 Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa mbunge wao Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akiendelea kujibu hoja mbalimbali zilizotolewa na wananchi.
Mh. Hamidu Migeyo Diwani Kata Bugandika akitolea jambo ufafanuzi katika mkutano wa Mbunge uliofanyika leo Jumapili katika Viwanja vya shule ya Msingi Rukurungo-Bugandika
Mh.Hamidu Migeyo akiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu masuala ya maendeleo ndani ya kata yake.
Mzee Selestin Petro Ivo mkazi wa Kijiji cha Rukurungo akitoa hoja yake juu ya umuhimu wa kufuatilia maeneo ya pango la Busheshe/Nyalinyo lililopo kata Bugandika linalosemekana kuwa na kumbukumbu za kale. 
Mzee Rwizandeko akitoa hoja yake katika mkutano huo.
Meza kuu kutoka kushoto pichani ni Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge,Mh. Hamidu Migeyo Diwani Kata Bugandika na Bi Neema Misayo Afisa Elimu kata Bugandika.
 Taswira mbalimbali mkutano ukiendelea.
Ufafunuzi kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr. Diodorus Buberwa kuhusu kongamano kubwa la fursa za uwekezaji wilayani Missenyi 'Missenyi Investment Forom anda Expo' litakalofanyika mwanzoni mwa mwezi wa saba (July 5, 2019)
Wananchi wakiendelea kutoa kero zao mbele ya Mbunge wao Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala
 Katikati ni Bwana Mathias Mutayoba mwenyekiti serikali ya kijiji Rukurungo.
 Bi Neema Misayo akikabidhi taarifa ya Kata.
Bwana Nicephory Dionice VEO Rukurungo mara baada ya kukabidhi taarifa ya Kijiji kwa Mbunge wa Jimbo Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala
Next Post Previous Post
Bukobawadau