Bukobawadau

KUELEKEA MSIBANI KWA MZEE #MTAHABA MAREKEBISHO YA BARABARA YAKIENDELEA LEO

 #Bukoba Marekebisho ya barabara ya Itahwa-Kabale kuelekea msibani kwa Mzee Mtahaba yakiendelea jioni ya leo March 3 ,2019


Mwili wa Ruge Mutahaba, unatarajiwa kuwasili Mjini Bukoba kesho Jumapili na kuelekea nyumbani kwao Kijijini Kabale na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele siku ya Jumatatu March 4,2019
Magreda yakiendelea kurekebisha barabara ya Itahwa-Kabale.
 Baadhi ya wanafamilia wakiendelea kuomboleza msibani hapo
 Baadhi ya wanafamilia wakiendelea kuomboleza msibani hapo kijijini Kabale
 Muonekano wa Mji wa Bukoba kutoka Kijijini kabale .
 Marekebisho ya barabara yakiendelea.
Hapa ni Viwanja vya  Gymkhana utakapo agwa mwili wa Mpendwa wetu Ruge Mtahaba
Rest In Peacefully Ruge Mutahaba #JasiriMwongozaNjia #RememberingRuge


Next Post Previous Post
Bukobawadau