Bukobawadau

MAHAFALI YA SABA YA KIDATO CHA SITA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA JOSIAH YAFANA

Siku ya Jumamosi March 16, 2019 ilikuwa siku yenye furaha kubwa kwa Wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah iliyopo manispaa Bukoba.

Theme:An Investiment in Knowledge Pays the best Interest. (kuwekeza kwenye Elimu huleta tija)
Mgeni rasmi katika mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah , Afisa tawala wilaya Bukoba,Bi Kidole Kiligala (kushoto) akiongozana na mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah,Mwita Samuel na viongozi wa shule hiyo kuelekea kwenye ukumbi wa mahafali.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shuleee ya Sekondari ya Wasichani ya Josiah iliyopo Manispaa Bukoba
Wahitimu wa kidato cha Sita wakiongoz masafara kuelekea kwenye Ukumbi wa mahafali
Wahitimu wakiimba nyimbo mbalimbali wakati msafara ukielekea Ukumbini
"My Dream my Destiny"
Baadhi ya Walimu na Wanafunzi wakielekea katika Ukumbi wa Mahafali hayo
Wanafunzi Wakielekea Katika Ukumbi wa Mahafali hayo
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah ni shule inayotoa elimu bora sana,ni shule ambayo ilianza kwa kasi na mpaka sasa inajitahidi kuhakikisha inatoa huduma bora na ya kipekee kabisa,Shule ipo Manispaa ya Bukoba ,kata ya Ijuganyundo na Ada yake ni nafuu.
Uongozi wa Shule ya Secondari ya Wasichana Josiah unapenda kuwatangazia nafasi za masomo katika kidato cha Tano Katika combination zifuatazo ;PCM PCB EGM ECA HKL HGK HGL HGE CBG
Kutoka kushoto ni Ndugu Hamza Ngemera (mzazi wa mwanafunzi), Mzee Masabala Mkurugenzi wa shule hii na Mzee Rutabingwa Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wasichana ya Josiah
Mwanafunzi akiimba Wimbo maalumu wa Bongo Fleva.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondai ya Wasichana Josiah akionyesha kipaji chake katika Hip hop
Wanafunzi wakishusha burudani ya Ngoma ya Asili ya Kiganda
Burudani safi ya Ngoma ya Asili ya Kiganda ikiendelea
Burudani kutoka kwa Wahitimu wa Kidato cha Sita
Maonyesho ya Mitindo
Ni Mwendo wa burudani Ukumbini.
Taswira mbalimbali Ukumbini Mahafali yakiendelea
Taswira mbalimbali ukumbini
Mc Muongozaji wa Mahafali ya Saba ya Kidato cha Sita Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah
Mgeni rasmi katika mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah , Afisa tawala wilaya Bukoba,Bi Kidole Kiligala akiongea na Wahitimu hao
Nyimbo bora za kihindi zikihusika katika burudani ukumbini.
Risala ya Wahitimu wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondai ya Wasichana Josiah
Taswira mbalimbali ukumbini
Burudani mbalimbali zikiendelea
Muonekano wa Mazingira ya Shule ya Wasichana ya Josiah iliyopo Manispaa Bukoba
Mgeni Rasmi akionekana kuguswa na burudani zinazoendelea katika Mahafali hayo
Matukio ya picha baadhi ya Wazazi na Walezi walioshiriki Mahafali hayo.
Mwakilishi wa Bank ya CRDB akitoa neno
Burudani mbalimbali zikiendelea kuchukua kasi ukumbini
Bi Kidole Kiligala,Mgeni rasmi katika mahafali ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah akikabidhiwa zawadi ya Keki
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule akikakabidhiwa zawadi ya Keki
Zawadi ya Keki ikikabidhiwa kwa Mwakilishi wa Walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Josiah
Wakati Zawadi ya Keki kwa Wahitimu wa Kidato cha Sita ikikabidhiwa.
Mh.Diwani wa Kata ya Ijuganyundo Al Masoud Daudi Kalumuna pichani kushoto akiwa meza kuu na viongozi wa Shule hiyo
Zawadi ya Keki ikipokelewa kwa niaba ya Wazazi wote
Wahitimu wa Kidato cha Sita wakishusha bonge la burudani
Ndugu Ruge Masabala pichani
Neno kutoka kwa Mzee Rutabingwa Mwenyekiti wa bodi ya shule ya Wasichana ya Josiah
Muendelezo wa matukio ya picha katika Mahafali hayo
Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Josiah ni shule inayotoa elimu bora sana,ni shule ambayo ilianza kwa kasi na mpaka sasa inajitahidi kuhakikisha inatoa huduma bora na ya kipekee kabisa,Shule ipo Manispaa ya Bukoba ,kata ya Ijuganyundo na Ada yake ni nafuu.

Uongozi wa Shule hii unapenda kuwatangazia nafasi za masomo katika kidato cha Tano Katika combination zifuatazo ;PCM PCB EGM ECA HKL HGK HGL HGE CBG Mitihani inafanyika Shuleni hapo
Next Post Previous Post
Bukobawadau