EDGAR NICAS & ALICE WEDDING RECEPTION !!
Tabasamu pana kwa maharusi hawa mara baada ya kufunga pingu za maisha.
Endelea kuwa nasi mpaka mwisho kwa mtiririko wa matukio ya picha.
Mr Azizi Kichwabuta with new Wed Couple.
Naam hivi ndivyo watu walivyokuwa ng'ari ng'ari, full 'Kumyesa'!
Wakuitwa @Easyhomie pichani kushoto akiwa sambamba na maharusi wetu
Hongera sana Edgar na Alice
Love birds..!
Hakika Mwanula ndugu..!
Kivutiwa kikubwa ni namna watu walivyopendeza ukumbini
Forever & Ever ......
Youngest Couple...
Ni muendelezo wa matukio ya picha hakika watu walipendeza mno.
This photo is everything Congrats to you.
Furaha ikitawala ukumbini..!
Pretty Smile
Naaam!
Stuning brige
Muendelezo wa Matukio ya picha