Bukobawadau

AFIKA KANYIKO SEKONDARI NA KUJIONEA TOFAUTI NI KATIKA ZIARA YA KUZITEMBELEA SHULE ZOTE JIMBONI

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dr Deodorus Kamala  akiwa katika ziara yake Jimboni ya kuzitembelea shule zote za Sekondari katika kupata usahihi wa matumizi ya mifuko 100 ya simenti aliyotoa kwa kila shule ya sekondari Wilayani Missenyi.
Balozi dkt Kamala akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufika shuleni hapo na kukutana na Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kanyigo Mwalimu Sadick Ngemera pichani kushoto.
Taswira mbalimbali ya Majengo ya bweni la Wavulana wa shule ya sekondari Kanyigo iliyopo kata Kanyigo tarafa Missenyi.
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Kanyigo Mwalimu Sadick Ngemera akimuonesha Mbunge majengo ya Mabweni ya Wavulana yanayoendelea kujengwa ikiwemo mchango wa mifuko 100 simenti  kutoka wa Mbunge
Taswira mbalimbali ya Majengo ya shule ya sekondari Kanyigo
Balozi dk.Kamala wakati akikagua ujenzi wa bweni laWavulana katika Shule ya Sekondari Kanyiko
Sehemu ya Majengo ya Shule ya Sekondari Kanyigo -Kiziba
Haggai Ndyekobora Afisa Mtendaji  KADEA akimkabidhi Balozi Dr Deodorus Kamala taarifa ya shule ya Sekondari Kanyigo
Next Post Previous Post
Bukobawadau