Balozi Kamala anafanikiwa pamoja na kutembelea Ujenzi wa Vyumba vya maabara katika shule ya Sekondari Rwemondo pia amekutana na kuzungumza na Walimu wa shule hiyo pamoja na kusikiliza changamoto za Shule hiyo,Changamoto kubwa ikiwa ni upungufu wa Walimu.
Kutokana na tatizo kubwa la umeme kwa muda mrefu lililotokana na kuharibika kwa transformer iliyopo katika eneo la Kijiji Nshunju kwa mara nyingine Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dk.Diodorus Kamala amefika eneo hilo kujionea uwezo wa transformer hiyo na kuahidi kuendelea kushughulikia suala hilo kwa haraka zaidi
Balozi Kamala akikagua hatua za ujenzi wa Maabara ya Sayansi shule ya Sekondari Rwemondo.
Muonekano wa ndani moja ya chumba cha maabara ya shule ya Sekondari Rwemondo Wilayani Missenyi #ziarayabalozikamala
Baadhi ya wananchi wa Kijiji Kyelima kata Nshunju wakiendelea kumsikiliza mbunge wao
Balozi Dk.Diodorus Kamala akiongea na wananchi kuhusu bajeti iliyopitishwa bungeni na mambo na kutolea ufafanuzi makadirio ya serikali ya mapato na matumizi
Wananchi wakiendelea kumsikiliza Mbunge Balozi dk.Kamala kwenye mkutano yake
Wananchi wakitoa hoja zao kwa Mbunge Balozi Dk.Diodorus Kamala
Wakazi wa Kijiji cha Kyelima Wakimsikiliza Mbunge Balozi dk. Kamala kwenye mkutano yake
Mzee Kalokola Kato Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Nkenge akitolea jambo ufafanuzi
Taarifa ya maendeleo ya Kyelima na Nshunju ikisomwa Mtendaji
Wadau wakiendelea kutoa kero mbalimbali kwa Mbunge wao Balozi dk.Kamala
Mh. Msafiri Nyeme Diwani wa Kata Nshunju akiongea na wananchi waliohudhuria mkuyano huo uliofanyika jana Kijiji Kyelima.

Saidu Kyagulani Msemaji wa Mbunge wa Jimbo la Nkenge pichani
0 comment:
Post a Comment