Bukobawadau

BALOZI KAMALA AHITIMISHA ZIARA YAKE JIMBONI

Katika kutekeleza wajibu wake Mbunge wa Jimbo la Nkenge Balozi dkt Kamala akipokea hoja mbalimbali kutoka kwa wananchi waliohudhuria moja ya mkutano wa kuhitimisha ziara yake jimboni katika Kijiji Kianga-Buekela Kata Bwanjai tarafa Kiziba
 Sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano huo.
Mh. Focas Diwani wa Kata Bwanjai akisikiliza kwa makini hoja mbalimbali kutoka kwa wananchi wa kitongoji Buekela Bwanjai
 TAZAMA SEHEMU YA VIDEO KUTOKA KATIKA MKUTANO WA MBUNGE BALOZI DKT KAMALA-BWANKAI

Rwehumbiza Timanywa mkazi wa Bwanjai akitoa hoja zake katika mkutano wa Mbunge Balozi Dkt Kamala Kijiji Kianga Buekela -Bwanjai ni katika ziara ya Mbunge wa Nkenge Kijiji kwa Kijiji . . . ____________________________________________________________________________________________________________
#Kiziba #Missenyi #Bukoba #Kagera #Uongozi #wananchi #ziarayabalozikamala #Nkenge #Kagerayetu #bukobawadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau