Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KALAKANA YA UFUNDI YA SHULE YA SEKONDARI TWEYAMBE

Balozi dkt Kamala Mbunge wa Jimbo la Nkenge akipata Maelezo kutoka kwa fundi mkuu wa Kalakana ya Shule ya Sekondari Tweyambe -Ishozi mara baada ya Kutembelea Kalakana hiyo kujionea namna shughuli zinavyoendelea .
Balozi Kamala katembelea Kalakana hiyo ikiwa ni mkakati kuona namna ya kuwawezesha Vijana katika Vyuo vya ufundi ili wapate ujuzi waweze kujiajiri na kuongeza kasi ya kupambana na umasikini
Ndani ya Kalakana ya Ufundi iliyopo shule ya Sekondari Tweyambe iliyopo Ishozi Wilayani Missenyi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau