Bukobawadau

BMC MABINGWA FAINALI ZA RWEGASIRA CUP


Kutoka Uwanja wa Chuo cha Afya Kagemu Kilichopo manispaa Bukoba ni fainali ya Michuano ya Rwegasira Cup 2019 iliyoandaliwa na Ndugu Edward Rwegasira, mgeni wa mashindano hayo ni Profesa Faustin Kamuzora Katibu tawala mkoa Kagera pichani katikati.

Wachezaji wa timu ya Bukoba Municipal Councel (BMC) mabingwa wa fainal za Rwegasira Cup 2019

Kikosi cha wachezaji wa Busimbe

Pichani anaonekana Bwana Edward Rwegasira mwandaaji na Mdhamini wa Michuano ya Rwegasira Cup illiyozikutanisha timu za kata za Manispaa ya Mji wa Bukoba

Mgeni Rasmi Profesa Faustin Kamuzora Katibu tawala mkoa Kagera wa kwanza picha akiongoza na mwandaaji wa michuano hii pamoja na Afisa Utamaduni Manispaa Bukoba

Mpambo Uwakiendelea Uwanja,


Taswira umati wa watu wakifuatilia Soka fainali ya Rwegasira Cup


Umati mkubwa wa watu wakifuatilia mtanange huo

Timu ya Busimbe ikizidisha mashambulizi langoni mwa timu ya BMC Inayodhminiwa na Manispaa ya Mji wa Bukoba

Kizaa zaa langoni mwa timu ya BMCMuonekano wa eneo la Meza kuu.

Wadau wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko

Wachezaji wa timu ya BMC wakipeana mawaidha wakati wa mapumziko


Kombe la Ubingwa wa michuano ya RwegasiraCup 2019, likiletwa Uwanjani

Wakati 'Mwali' akiletwa Uwanjani

Muonekano wa Meza Kuu Kombe la Ubingwa wa michuano ya RwegasiraCup 2019,likiwa tayari mezani

Endelea kuwa nasi kwa mtiririko mzima wa matukio ya picha kutoka Uwanja wa Chuo cha Afya Kagemu Manispaa Bukoba,fainali michuano ya Rwegasira Cup 2019

Dakika za lala salama timu ya Busimbe inasawazisha bao 2-2


Mpaka mwisho wa Mchezo Busimbe Fc 3-4 Bukoba Municipal Council (BMC)

Kutoka Uwanja wa Chuo cha Afya Kagemu kilichopo ndani ya kata ya Kitendaguru, pichani ni sehemu ya wapenzi wa Soka wakifuatilia michuano Kati ya timu ya BMC na Busimbe Fc.


Kipa wa timu ya Bukoba Municipal Councel (BMC) akipatiwa matibabu Uwanjani

Mlinda mlango wa timu ya Bukoba Municipal Councel (BMC) akiendelea kupata matibabu

Miongoni mwa picha maalumu kwa ajili ya kumbukumbu wakati Mgeni Rasmi Profesa Faustin Kamuzora Katibu tawala mkoa Kagera akikabidhi Kombe kwa nahodha wa timu ya Bukoba Munispaa Council (BMC) ambao ndio Mabingwa wa michuano ya Rwegasira Cup 2019 inayodhaminiwa na Ndugu Edward Rwegasira pichani kushoto.Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wakiwa wamehudhuriwa mpambano huo

Baada ya kutoka 2-2 katika dakika 120 sasa tunashuhudia matuta.

Timu ya BMC inapata ushindi kwa penati 4-3 
 Pongezi kubwa kwa kamati ya maandalizi ya Michuano hii kwa kuweza kujipanga vyema kwa namna ya pekeeNi mwendo wa matuta.

Mpaka mwisho wa Mchezo Busimbe Fc 3-4 Bukoba Municipal Council (BMC)

Sehemu ya Mashabiki wa timu ya BMC wakiendelea kufatilia mtanange huBwana Edward Rwegasira akimpongeza mwamuzi wa mchezo huo

Mwamuzi wa mchezo huo akipokea zawadi na kusalina na meza kuu.


Endelea kufuatilia mtiririko mzima wa matukio ya picha kutoka Uwanja wa Chuo cha Afya Kagemu Manispaa Bukoba,fainali michuano ya Rwegasira Cup 2019


Muendelezo wa matukio ya pichaEndelea kufuatilia mtiririko mzima wa matukio ya picha kutoka Uwanja wa Chuo cha Afya Kagemu Manispaa Bukoba,fainali michuano ya Rwegasira Cup 2019

Wachezaji na Viongozi 23 na viongozi wa timu wakikabidhiwa nishani.Wachezaji na timu ya BMC Wakionekana kifamilia zaidi wakati wakukabidhiwa nishaniEndelea kufuatilia mtiririko mzima wa matukio ya picha kutoka Uwanja wa Chuo cha Afya Kagemu Manispaa Bukoba,fainali michuano ya Rwegasira Cup 2019

Ni furaha,Shangwe, ndelemo na vikeleshendo kwa timu ya BMC mara baada ya kukabidhiwa Kombe lao

Mdhamini wa Michuano hii Ndugu Edward Rwegasira akitoa neno

Muendelezo wa matukio ya picha

Mapingwa katika picha ya pamoja

Hii ndiyo picha ya Mwaka kwa washindi wa michuano ya Rwegasira Cup iliyodhaminiwa na Ndugu Edward Rwegasira
Next Post Previous Post
Bukobawadau