Wageni hao kutoka Nchini Rwanda walipata fursa ya kuzungumza na wafanyabiashara wa Mjini hapa na kuelezea fursa mbalimbali zilizopo na namna gani zinaweza kuchangamkiwa.
Ndugu Karim Amir ni kati ya wafanyabiashara waliokutana na Wageni kutoka nchini Rwanda waliofika Mjini hapa kwa ajili ya kushiriki Wiki ya Uwekezaji Mkoani Kagera,Mkoa wenye fursa kubwa ya uwekezaji kwenye viwanda vya kukoboa na kusindika kahawa.
Utambulisho ukiendelea
0 comment:
Post a Comment