Utapata mtiriko mzima wa matukio ya picha jinsi ndugu jamaa na marafiki walivyojitokeza kumpokea Hajjath Leillah Sherally wa Mtaa wa Haki 'One way' wakati akiwasili Nyumbani kwao Kijijini Kamachumu akitoka Makkah katika ibada ya Hijja.
Day 2 mapokezi ya Hajjath Leillah Nyumbani Kwao Kamachumu
Dada mkubwa akimpokenza mdogo wake kwa bashasha kubwa na kumvalisha maua
Endelea kufatilia matukio ya picha yaliyojiri mwanzo mwisho kutoka Kamachumu..
Msafara wa Magari katikati ya Mji mdogo wa Kamachumu
Msafara ukielekea nyumbani kwa ajili ya Dua maalum na Maulid ya kumpongeza Hajjath Leillah akirejea kutoka Makkhah nchini Saudi Arabia.
Umati mkubwa wa watu langoni kuelekea Ukumbini kwa ajili ya Maulid ya kumpongeza Hajjath Leillah Sherally mara baada ya kurejea kutoka Makkah.
Burudani ya Wanafunzi wa madarasa
Muendelezo wa matukio ya picha
Bi Sophia Hamad katika umahiri wa kusoma Qur'an.
Taswira mbalimbali wakati ratiba ikiendelea
Al Dufufu kutoka maeneo ya Kyaka wakifanya yao.
Hajjat Leillah Sherally katika picha ya paoja na marafiki zake.
Muendelezo wa matukio ya picha Maulid ya kumpongeza Hajjatj Leillah nyumbani Kamachumu
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Muendelezo wa picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.
Marafiki wa familia wakiendelea kutoa zawadi za pongezi kwa Hajjath Leillah.
Ni mwendo wa kutoa zawadi kutoka kwa makundi mbalimbali ya kinamama wakazi wa Kamachumu na Vitongoji vyake
Matukio ya Zawadi yakiendelea
Kuhusu masuala ya Menu hapakuwa na shaka kabisa...
Waalikwa wakiendelea kupata huduma ya chakula
0 comment:
Post a Comment