#KANAZI HALI YA SIMANZI YATAWALA MAZISHI YA MPENDWA MONICA BARONGO #BUKOBA

Hali ya simanzi yatawala katika mazishi ya Mke wa Godwini Barongo,Mpendwa wetu Monica Barongo yaliyofanyika jana March 16,2020 Kijijini Kanazi #Bukoba na kuhudhuriwa na umati wa waombolezaji

#MazishiyaMonicaBarongo mapema kabla ya Ibada mzee machume akiwa ameungana na jamaa wa familia yake katika mazishi haya

Taswira mbalimbali katika picha #MazishiyaMonicaBarongo

Ndugu Novatus Rwechungura Nkwama akikabidhi rambirambi yake.
#MazishiyaMonicaBarongo
Mama Mzazi wa Marehemu Monica Barongo akitokwa na machozi wakati wa misa ya kumuombea
Muendelezo wa matukio ya picha katika Ibada na Mazishi ya Marehemu Monica Barongo
Umati wa waombolezaji wakishiriki #IbadayaMazishiyaMonica ..
Waombolezaji wakiendelea kushiriki Ibada hiyo iliyofanyika jana Kijijini Kanazi Bukoba.
Wanakwaya wa BCC wakiwajibika kwa nyimbo za kutoa faraja kwenye msiba....
Ndugu Rahim Kabyemela na Harlod Baruti katika mazishi ya Mpendwa wetu Monica Barongo...

Joachim Urio Mjomba wa Marehemu Monica Barongo

Poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu....

kutoka kushoto ni Placidia Barongo,Jane Barongo,Jovitha Barongo na Johanitha Barongo #MazishiyaMonicaBarongo #Kanazi #Bukoba

Alex na Bi Salome pichani

Ndugu Divo Rugaibula mtu wa karibu na familia ya Barongo akiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya mpendwa wetu Monica Rwechungura
Katika simanzi anaoneka Dada Jovitha Barongo....
Mama Kayunga pichani akiwa ameungana na waombolezaji wengine
Wanakwaya wakiendelea kuwajibika....

#MazishiyaMonicaBarongo
Mzee Benedicto Barongo Msemaji wa familia akitoa neno la shukrani .
Pata muendelezo wa matukio ya kutoka heshima za mwisho
Heshima za mwisho kwa mpendwa wetu Monica Barongo
Tutakukumbuka daima milele, daima milele tutakukumbuka Monica Monica
Uncle Julious na Divo wakati wa kutoa heshima za mwisho.
Wanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho
Last respect ....
Vilio na machozo vikitawaha msibani hapa....
Jeneza likifungwa vyema na Mme wa Marehemu Monica Barongo
Mzee Benedicto Barongo Msemaji wa familia akitoa neno la shukrani .
Pata muendelezo wa matukio ya kutoka heshima za mwisho
Heshima za mwisho kwa mpendwa wetu Monica Barongo
Tutakukumbuka daima milele, daima milele tutakukumbuka Monica Monica
Uncle Julious na Divo wakati wa kutoa heshima za mwisho.
Wanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho
Last respect ....
hakika ni huzuni mkubwa kwa wanafamilia na wote waliomfahamu Marehemu Monica
Kaka Godwin na Kijana wake Junior ndiyo wamempoteza mpendwa wao hivyo...!Vilio na machozo vikitawaha msibani hapa....
Jeneza likifungwa vyema na Mme wa Marehemu Monica Barongo

#MazishiyaMonicaBarongo

Mapadre wakiwa eneo la kaburi #MazishiyaMonicaBarongo
Jeneza lenye mwili wa Mpendwa wetu Monica Barongolikiingizwa kaburini, kwa mashine na kuhitimisha safari yake hapa duniani
Tutakukumbuka daima milele, daima milele Monica....
Jeneza tayari limeshushwa kaburini na kuhitimisha safari yake hapa dunianitutakukumbuka daima milele, daima milele Monica
Zoezi la kuweka udongo kwenyw kaburi la Mpendwa Monica Barngo
Mzee Rutaraka akiweka Udongo kwenye kaburi...

Mapadre wakiongoza utaratibu wa kuweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wetu Monica Barongo

Godwin Junior mtoto pekee wa kuzaliwa na Mpendwa wetu Monica Barongo akiweka shaka la maua kwenye kaburi la Mama yake.

Ni huzuni mkubwa kwa ndugu yetu,rafiki yetu Godwin Barongo kwa kumpoteza mwenzake

Jovitha akiweka shada la maua

Kaka yake ya mpendwa Marehemu Monica Barongo akiweka shada la maua.....

Wajukuu wa familia ya Marehemu Kapt.Barongo wakiweka maua kwa pamoja kwenye kaburi....

Mzee Machume na mke wake wakiweka shada la maua
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendela kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Mama Mzazi wa Marehemu Monica akiweka Shada kwenye kaburi la mwanae...
Mama Monica akiweka shada la maua..
mashada likiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Utaratibi wa kuweka mashada ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Mwakilishi wa Ofisi anayofanya kazi Kaka Godwin Barongo akiweka shada la maua
Zoezi la kuweka mashada likiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
#MazishiyaMonicaBarongo #Kanazi #Bukoba
Marafiki wa Marehemu pichani kwa upendo mkubwa kumuaga Mpendwa wao
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu Mazishi ya Monica Barongo...
Victar na Shemeji yake Godwin

Kaka Godwin Barongo akiweka Mshua kwenye kaburi la mke wake mpendwa.

Marafiki wa familia katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu kwenye kaburi la mpendwa wetu Monica Barongo ...

Marafiki wafamilia wakibadilishana mawazo mara baada ya shughuli ya Maziko

Kaka Victar pichani....
Wakwe wa familia ya Marehemu Kapt.Barongo wakiteta jambo....
Dada Jamila Isack pichani kulia katika utambulisho unaotolewa na Omulangila Deo Rugaibula
Dada zake na Godwin Barongo mara baada ya mazishi ya wifi yao.....Monica Barongo apumzike kwa amani..
Hivi ndivyo ilivyokua safari ya Mwisho ya maisha ya Mpendwa wetu Monica Barongo...Mwenyezi Mungu ampe pumziko la Milee..!