Bukobawadau

SIMANZI YATAWALA MAZISHI YA OMULANGILA JOHN LUJWANGANA #BUSIMBE #BUKOBA..!


#BUKOBA MARCH 4,2020

Umati mkubwa wa waombolezaji wameshiriki mazishi ya Omulangila John Lunjwangana yaliofanyika nyumbani kwake #Busimbe nje kidogo ya mji wa Bukoba


Wanafamilia ya Marehemu Omulangila John Lujwangana (1932-2020) wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya mpendwa wao....Nyumbani kwao kijijini Busimbe nje kidogo ya mji wa Bukoba.
Padre akiendelea kuongoza Ibada ya mazishi ya Mpendwa wetu Omulangila John Lujwangana Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa mpendwa wetu Omulangila John Lujwangana....

Umati mkubwa wa waombolezaji Mazishi ya Omulangila John Lujwangana...

Sehemu ya Wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada...Omutwale Bocko ni mmoja kati ya waombolezaji walioshiriki mazishi hayo.. 

 Edbertius Mtawala mmoja kati ya waombolezaji mazishi ya Omulangila Lijwangana
Mzee Emmanuel...
Uncle Majid Kichwabuta,Mh.Chief Kalumuna,Mzee Badru Kichwabuta na Al hajj Salum Al Saqri mawingo...


Muendelezo wa matukio ya picha...

Kaka Mushobozi Barongo pichani
Ni vilio na machozi ya simanzi, pichani anaonekana mwenye simanzi kubwa Dada Mercy Lujwangana...
Hasan Gorongo akifuatana na Omulangila John Luangisa..

Kadigi wakati wa kutoa heshima za mwisho
Princess Bea(Byera) Lujwangana wakati akitoa heshima zake za mwisho...
Ndugu Eliud akitoa heshima zake za mwisho...

Bi Beatrice Lujwangana wakati wa kutoa heshima za mwishoMtaalam Salu Al Sarqi kama kawaida ni mara chache sana kutokushiriki msiba wowote mkoani Kagera...,pichani anaonekana akitoa heshima zake za mwisho...

Wilhelmina Balyagati katika last respect...
Nelson Lujwangana mtoto wa Mpendwa wetu Marehemu John Lujwangana...

Last respectRojas Kalunde akisoma wasifu wa marehemu Omulangila John Lujwangana
 ..Kaka Nelson akikabidhiwa rambirambi kutoka kwa Mzee Robart Matungwa..
Salaam za rambirambi kutoka kwa Mrungi Badru Kichwabuta..
 Taswira mbalimbali msibani hapo...
 Pichani wakati taratibu na shughuli nyingine zikiendelea..
 Dada Juliana Mello, na Dada Jamila walipofika na kumfariji Dada Mercy Lujwangana pichani katikati
 Baba Sadath, Badru Kichwabuta akifuatilia kwa makini kabisa kinachojiri..
 Dada Lilian David Amri wakati wa kutoa salaam za rambirambi kutoka Inter-University Council for East Africa,Uganda anakofanya kazi Dada Wilhelmina Balyagati
Dada Lilian David Amri mara baada ya kutoa salaam za rambirambi kutoka Inter-University Council for East Africa,Uganda anakofanya kazi Dada Wilhelmina BalyagatiSalaam za rambirambi kutoka kwa Mama Luangisa zikisomwa na Johnson Lujwangana ambaye ni mtoto wa Marehemu John Lujwangana

Johnson Lujwangana akisoma ujumbe kutoka kwa Mama Luangisa (Us)

Chichi Nyamwihula akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia
Wajukuu wa marehemu Mzee Lujwangana waliokuwa wakiishi na kumuuguza mzee kwa kipindi chote, wakipokea pongezi za shukrani kutoka kwa ndugu Christhopher Chichi Nyamwihula... msemaji wa familia...
Nelson Lujwangana akitoa neno la shukrani.....Kuelekea eneo la kaburi...Utaratibu wa kuweka udongo kwenye kaburi ukiwa unaendelea...

Taswira mbalimbali msibani hapo...

Taswira mbalimbali msibani hapo...
Dada Mercy Lujwangana mmoja wa watoto wa kuzaliwa na Omulangila John Lujwangana
Omulangira Charles na Omumbeija Murungi wakitoa ushuhuda wao na mengi juu ya pengo lililoachwa na pendwa wetu Omulangila John Lujwangana

Kaka Kakuru katunzi na Dada Loyce Katunzi pichani

Kaka Kakuru katunzi akimfariji Ndg Johnson Lijwangana...
Muendelezo wa matukio ya picha mazishi ya Omulangila John Lujwangana..


Beatrice Byera na Kaka yake Nelson Lujwangana kwa pamoja wakiweka shada la maua...

Beatrice Byera na Kaka yake Nelson Lujwangana kwa pamoja wakiweka shada la maua...

Johnson (Boy) Lujwangana akiweka shada kwenye kaburi la mzee wake...

Muendelezo wa matukio ya picha.. anaonekana Dada Loyce Kakuru wakati wa kuweka shada la maua

Bi Pamela Rutastara,Ismail Katunda na Hamis Katunda wakati wa zoezi la kuweka shada la maua..
Omutwale Justinian Rutastara akiweka shada la maua kwenye kaburi la mkwe wake...Dada Mercy Lujwangana...


Mzee Lobart Matungwa akiwa tayari kuweka shada la maua kwa niaba ya Wanachama wenzake wa UFC...


Katuntunu na Wilhelmina wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa Baba yao...
Ndugu Katunda,Dada Mercy na kijana Ismail Katunda
Muendelezo wa matukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu....
Muendelezo wa atukio ya picha kwa ajili ya kumbukumbu....

Wajukuu katika picha ya pamoja...


Wanne pichani kutoka kushoto ni baadhi ya watoto wa mpendwa Omulangila John Lujwangana


Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu,Wilhelmina,Chichi na Katuntunu..


Kaka Mushobozi Barongo katika mazishi ya Omulangila John Lujwangana...


Mercy,Bea na Beatrice watoto wa marehemu Omulangila Lujwangana katika picha ya pamoja


Baadhi ya wajukuu katika picha ya pamoja..

"Mwenyezi Mungu ampe pumziko na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Ameen," - salamu za pole kutoka #Bukobawadau #RIPTaJohn ....
Next Post Previous Post
Bukobawadau