Bukobawadau

WANAFUNZI WA MADARASA TA-AWUNUL ITOMA KATORO WAHITIMU KUSOMA QURAN


Sehemu ya Video kutoka Kijijini Itoma Katoro #bukoba Wanafunzi wa Madarasa ya Ta-Awunul inayodhaminiwa na Hajjat Zahara pamoja nae Wahitimu kusoma Quran .... Ta-Awunul Institute (TAI) ni Taasisi inayojihusisha na utoaji misaada ya kijamii katika nyanja mbalimbali hususani katika Elimu, Uchumi na Mazingira.
Next Post Previous Post
Bukobawadau