Bukobawadau

UMATI WASHIRIKI MAZISHI YA MZEE EMILY M.KALALA WA RWANTEGE - NSHAMBA (1922-2020)

Umati mkubwa wa Wambolezaji wamejitokeza kushiriki misa ya mazishi  Mzee Emily Mtungi Kalala (1922-2020) iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Rwantege Nshamba Wilayani Muleba siku ya Ijumaa tar 28/2/2020
Marehemu Mzee Emily /11/1922 akiwa mtoto wa kwanza wa familia ya marehemu Mzee Yosia Kalala na Angela Nyogolweizi na kubatizwa katika katisa la KKKT usharika wa Rwantege mwaka 1937 akiwa mshirika wa 40
Pichani Wachungaji wa Kanisa la Kilutheri wakiongoza Mazishi ya Mchungaji Emily Mtungi Kalala
Mchungaji akiweka Udongo kwenye kaburi la Mpendwa wetu Mchungaji Emily Kalala
Mazishi ya mpendwa wetu Mzee wetu,Mchungaji Emily Kalala aliyejiunga na Babtist ya kuhudumu kama mchungaji huko Arusha mwaka 1974 na mpaka mwaka 1985 alipofanya uamuzi wa kurejea nyumbani na kujiunga na kanisani Rwantege kama Mlutheri akiwa na kundi kubwa la waumini
Bi Georgia Mama Mjane wa Marehemu Mzee Emily Kalala akiweka udongo kwenyen kabuli la mpendwa wake
Zoezi la kuweka udongo kwenye kaburi likiendelea....
Utaratibu wa kuweka udongo kwenye kaburi la mpendwa wetu mzee wetu ukiendelea
Mzee Mathias Kalala akiweka Udongo kwenye kaburi la Baba yake mzazi,Mchungaji Emily Kalala
Idadi kubwa ya Wachungaji wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania (KKKT) wameweza kushiriki mazishi hayo yaliyofanyika Tar 28/2/2020 Rwantege Nshamba Wilayani Muleba
.....Idadi kubwa ya Wachungaji wa Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania (KKKT) wameweza kushiriki mazishi hayo yaliyofanyika Tar 28/2/2020 Rwantege Nshamba Wilayani Muleba.....
Ndugu Ashell Kalala wakati akiweka Udongo kwenye kaburi la Mzee wake...
Msalaba ukisimikwa kwenye kaburi la mpendwa wetu
Mama  Mjana Ma Georgina akiweka shada maua kwenye kaburi la mme wake
Ndugu Mathias Kalala na Mdogo wake  Ashell Kalala wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mzee wao mpendwa
Watoto wa Marehemu na Wakwe wakiendelea na Utaratibu wa kuweka mashada.
.........Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea......
Utaratibu wa kuweka mashada ukiendelea.....
Sehemu ya Wajukuu wakiweka Mishumaa
Wanafamilia wakiwa heneo la kaburi ,wakiweka maua na mashada.
Taswira mbalimbali Mazishi ya mzee wetu mzee Emily Mtungi Kalala
Marehemu Mzee Emily Kalala alibahatika kupata watoto 12 na Mama Selestina aliyefariki mwaka 1994 na mpaka umauti unamkuta ameacha watoto 8.wa mama huyo.
Mnamo mwaka 1996 alifunga ndoa na Mama yetu Bi Georgina na kuzaa nae watoto 6 huku watano wakiwa hai...Hivyo Mzee Emily  ameacha watoto 18,Wajukuu 44,vitukuu 62 na Vilembe 2 jumla ya familia yake ni watu 125
Marehemu Mzee Emily Kalala  ameacha watoto 18,Wajukuu 44,vitukuu 62 na Vilembe 2 jumla ya familia yake ni watu 125
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu wananekana baadhi ya Wajukuu wa mpendwa wetu Mzee Emily Kalala
Mzee Matias Kalala akibadilishana mawazo na waombolezaji kutoka mjini Bukoka waliofika kuwafariji
 Wajukuu wa Marehemu Mzee Emily Kalala wakiwa na picha ya Babu yao mpendwa
Umati wa waombolezaji mazishi ya Mzee Emily Kalala
Familia ya Marehemu Mzee Emily Kalala inatumia fursa hii kutoa shukrani za dhati kwa madaktari na wauguzi wa kituo cha Afya Rwantege,Hospitali ya Ndolage na Hospitali ya Mkoa Kagera waliokuwa wakimhudumia pasipo kuchoka kuhakikisha Afya ya Mzee inaimarika,familia inasema haina cha kuwalipa kulingana na huduma na ukarimu walioonyesha zaidi ni kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu
 Wafiwa na waomblezaji wakipata huduma safi ya chakula kilichoandaliwa
Salaam za rambirambi kwa kuzingatia makundi mbalimbali
 Muendelezo wa matukio ya picha wakati utaratibu wa kutoa salaam za rambirambi ukiendelea
Makundi ni mengi sana yakiendelea kutoa salaam za rambirambi kwa wanafamlia....
Marafiki na wanafunzi waliosoma na Ndugu Ashell wakiwakilisha salaam za rambirambi.
Ndugu Mathias akitoa mrejesho wa rambirambi walizopokea kutoka kwa marafiki na jamaa  wa Jijini Dar es Salaam
Endelea kuwa nasi na Matukio zaidi yanapatikana katika kurasa zetu za Instagram na facebook @bukobawadau #bukobawadau
Marehemu Mzee Emily Kalala pichani enzi za uhai wake
Matukio zaidi yanapatikana katika kurasa zetu za Instagram na facebook @bukobawadau #bukobawadau


Misa maalum ikiendelea ,mazishi ya mzee wetu..
Ndugu Ashell na wanafamilia wengine  poleni kwa msiba huu mkubwa
Ma nesi,Dada yetu pole sana kwa kumpoteza mpendwa wetu
Wanakwaya wakiwajibika....
Vijiji vya Wilaya ya Muleba na Vitongoji vyake, Wadau wa maendeleo mkoa Kagera, marafiki wa familia kwa wingi wao wameonyesha kuguswa na mziba huu wa Mzee Emily Kalala
 Hakika watu ni wengi kwelikweli walioweza kushiriki mazishi hayo
Taseira mbalimbali katika picha waombolezaji wakiendelea na Misa ya mazishi ya Mzee Emily Kalala


Waombolezaji wakiendelea kutoa heshima za mwisho
Endelea kuwa nasi kwa mtiriko mzima wa matukio ya picha..
Vilio na simanzi vikitawala kwa wanafamilia wakati wakitoa heshima zao za mwisho
 Wanamlia babu,wanamlilia kipenzi chao.....
 Viongozi wa Dini wakitoa heshima zao za nwisho,Mwili wa mpendwa Mzee Emily Kalala
.....Last respect....
  Viongozi wa Dini wakitoa heshima zao za nwisho,Mwili wa mpendwa Mzee Emily Kalala
 Tunamuombea pumziko la milele marehemu Baba yetu
 Hivi ndivyo ilivyokua safari ya mwisho ya Maisha ya mpendwa wetu mzee wetu ,Emily Kalala
 Poleni sana kwa msiba MUNGU awatie nguvu na kuwapa faraja neno zaburi 23
Jeneza lenye mwili wa Mzee wetu likiingizwa kwenye kaburi
 Umati mkubwa wa waomblezaji wakiendelea na Ibada ya mazishi
 #Bukobawadau tunatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki ,Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe...
Next Post Previous Post
Bukobawadau