Bukobawadau

BALOZI DK. KAMALA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA NKENGE

Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika ofisi za CCM wilaya ya Missenyi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea ubunge katika jimbo la Nkenge kupitia @ccm_tanzania 
Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala  akionyesha fomu za kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Nkenge  mara baada ya kuzichukua.
Next Post Previous Post
Bukobawadau