Bukobawadau

UMATI WASHIRIKI MATANGA YA FAMILIA YA OMULANGIRA RUGAIBULA #BUKWALI KASHENYE

Falimilia ya Marehemu Omulangira Adeodatus Rugaibula wa Bukwali -Kashenye imejumuika kwa pamoja hapo jana Jumamosi July 4,2020 katika Ibada maalumu ya kuwaombea wapendwa wetu waliotawaliwa na Bwana,Baba Mzazi wa familia Omulangila Adeodatus Rugaibula,Mpendwa mama yetu Omwamikazi Hellana Rugaibula na ndugu yetu Adeospitius Ruganzi 
 Msafara kuelekea ukumbini tayari kwa Ibada Maalum kuanua matanga ya Wapendwa wetu,Baba Mzazi wa familia Omulangila Adeodatus Rugaibula,Mpendwa mama yetu Omwamikazi Hellana Rugaibula na ndugu yetu Adeospitius Ruganzi
 Mwanzo wa Shughuli ya Ibada ya misa takatifu ya kuwakumbuka wapendwa wa familia hii ikiendelea...
 Mzee Sunday na Dr. Mboneko wakiendelea kushiriki Ibada yaMisa takatifu ya kuwambea wapendwa wetu
Baba Askofu Kilaini akitoa mahuburi katika kumbukizi ya vifo wa wapendwa wetu
Wanakwaya wakiendelea kuwajibika
 Neno la Bwana likisomwa
 “Eeh .mungu wapumzishe kwa AMANI Wapendwa wetu''
“Eeh .mungu wapumzishe kwa AMANI Wapendwa wetu''
 Binti Kibengwe akiwasili tayari kwa kushiriki Ibada ya kuanua matanga ya wapendwa wetu.
Utaratibu wa kutoa Sadaka ukiwa unaendelea..
 Balozi Dr.Kamala akitoa neno la familia mara baada ya kukamilika kwa Ibada ya kuanuwa Matanga ya Wapendwa wetu.
 Mama Haillen Benna na Bi Anitha wa Divo wakiendelea kushiriki Ibada kikamilifu kabisa

Mzee Mtayoba pichani kulia..
 Muendelezo wa Matukio ya picha.
Familia Vipawa vikibarikiwa..
Ibada ya Misa takatifu imeongozwa na Askofu Kilaini,Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliku Bukoba
 Waumini wote wakitoa sadaka kulingana na Utaratibu
 Wanafamilia kwa pamoja wakiwa eneo la Makaburi na kuwaombea wapendwa wao
 Baba Askofu Kilaini akinyunyuzia maji ya Baraka katika Kaburi
 Askofu Kilaini akiweka shada la maua katika kaburi la mpendwa wetu Ruganzi
 Kaburi la Mama yetu  Omwamikazi Hellana Rugaibula
 Muendelezo wa matukio ya picha tukio bado eneo la Makaburi
 Wajukuu wakiwa katika kaburi la Bibi yao Mpendwa Omwamikazi Hellana Rugaibula


 Sasa wafiwa wakiwa tayari kuelekea ndani...
Dr.Venus Kataruka, Sis Mboneko, Mzee Sunday pamoja na Padre Mboneko wakiwa katika picha ya pamoja.
Bwana Divo akipokea zawadi kutoka kwa mmoka kati ya marafiki zake Wakubwa.
Pia wanakabidhiwa Zawadi ya picha ya Mfalme Haile Selassie wa Ethiopia.
 Muendelezo wa matukio ya picha, kutoka kijijini Bukwali Matanga ya familia ya Omulangira Rugaibula
Familia ya Mulangira Kataruka kwa pamoja wakiwa wanabadilisha mawazo mara baada ya Misa ya Matanga ya Omulangira Rugaibula.
Muendelezo wa matukio ya picha shughuli ikiwa inaendelea
Taswiraeneo la makaburi mapema kabla ya kuanza kwa Ibada.
Mama Seba na Mama Victar wakiongea mbele ya Camera yetu namna walivyomfahamu Omulangila Rugaibula


Kaka Mkubwa Omulangila Deo Rugaibula akisalimiana na kuwashukuru waalikwa walioweza kuhudhuri shughuli hii.
Kutoka Crdb Bank, Familia kupitia kwa Mdogo wao Ade Rugaibula inasema ahsante, Ahsante ahsanteni Sana

 Wanafailia wakiwa tayari kupokea mkono katika kupongezanakwa kumalizaIbada ya Matanga wa Wapendwawao

 Omulangira Deo Rugaibula akisalimia na Hajj Abbubar Sued.
 Mh. Wilbroad Mutabuzi anasalimia na wanafamilia
 Mzee Pius Ngeze akiwapa pongezi wanafamilia kwa kukamilisha Suala hili
 Mulangira Ben Kataruga akisalimiana na kuwapongeza Wanafamilia,Mulangira Deo naMulangira  Divo kwa kukamilidha Suala hili
 Mlangira Kataruga akisalimiana na kuwapongeza Wanafamilia,Mulangira Deo Rugaibula  na Mulangira  Divo kwa kukamilidha Suala hili
 Muendelezo wa matukio ya picha pongezi zikiendelea kwa wanafamilia wote.

 Wanamama wa Mjini Bukoba wakiwa wamejumika vyema na familia ya Omulangira Rugaibula kijijini Bukwali.


 Kalunde Jr. na Dr. Kataruga pichani.


 Wanamama marafiki wa familia wakiwa katika picha ya pamoja.
 Michomo kama kawaida...
 Dr. Kataruga akisalimiana na Mpambanaji Adv. Steven Byabato.
 Huduma ya Vinjwaji ikiwa inaendelea...
 Sala maalum kwaajili ya Chakula


 Hyduma safi ya chakula ikiwa inaendelea..
 Huduma Safi ya Chakula kwa Usimamizi na mpangilio sahihi chini ya Dada Benna..


 Hajj Abbakar Sued na rafiki ya Parma wakiwa wameshiriki katika Ibada hii ya kumbukizi Vifo vya wapendwa wafamilia ya Omulangira Rugaibula
 Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.
Muendelezo wa matukio ya picha
 Wazee wakipata mbili tatu ..
 Muendelezo wa Matukio ya picha kutoka Kijijini Bukwali -Kashenye Nyumbani kwa familia ya Mpendwa Mzee wetu Omulangila Rugaibula
Next Post Previous Post
Bukobawadau