Bukobawadau

BALOZI KAMALA AONGOZA MAHAFALI YA PROGRAMU YA MAFUNZO MAALUM CHUO CHA UFUNDI GERA

Siku ya Jana Oct 9,2020 Chuo cha maendeleo ya Wananchi Gera kiliwatunuku  vyeti  wahitimu 117 wa programu maalum ya mafunzo ya kujikwamua kiuchumu katika fani mbalimbali yaliyodhaminiwa na Balozi Dr.Deodorus Kamala
Baadhi ya wahitimu katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi na mdhamini wa mafunzo hayo Balozi Dr.Kamala.
Balozi Dr. Kamala akikabidhi Vyeti wa Wahitimu wa programu maalum ya mafunzo ya Miezi mitatu yenye lengo la kusaidia vijana  kujikwamua kiuchumi

Balozi Dr.Kamala  na Kaimu Mkuu wa chuo cha maendeleo Gera

INAENDELEA....
Next Post Previous Post
Bukobawadau