Bukobawadau

KIJIJINI BUGANDIKA KWA OMULANGILA JUSTIN LAMBART SHUGHULI YA MAHARI YA BINTI YAKE JANETH JUSTIN LAMBART

Ndugu na jamaa wa karibu na familia ya Omulangila Justin Lambart,wamekutana nyumbani kwao kijijini Bugandika kwa ajili ya kupoke mahari ya binti yao mpendwa Janeth Justin Lambart.


Ndugu Chichi Nyamwihula na rafiki yake wa karibu Omlangila Deo Mutalemwa
Muendelezo wa matukio ya picha

Mtaalam wa tasnia ya mapishi akichoma nyama 

Tukio la kukabidhi ngombe wa mahari kama anavyo onekana mshenga Ndugu Julias Kaizar pichani kulia


Omulangila Justin Lambart na Omulangila Deo Mutalemwa wakiteta jambo
Mshenga ndugu Julias Kaizar  wakati wa kuaga
 


Next Post Previous Post
Bukobawadau